CCM inatosha sasa. Mtuache tupumue kidogo

CCM inatosha sasa. Mtuache tupumue kidogo

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kila kukicha CCM huko na huko mara wafanye maandamano ya kumpongeza mtu, mara hivi, mara vile.
Yatosha.
Huyo mama kama amefanya mazuri msiwe na shaka kazi zake zitatoa hukumu kipindi cha kampeni na siku ya kupiga kura hiyo October 2025.
Chama kiweze kununua Yutong za mabilioni kitashindwa vimilioni vichache vya kumpa huyo mama akachukue fomu ya Urais?
 
Back
Top Bottom