CCM inatumia propaganda za udini na ukabila kukabiliana na vyama Makini vya upinzani

Kwa miaka sasa ccm wamekuwa wakihubiri udini kila wanapokuwa wamebanwa na wanaharakati na vyama pinzani ila tujiulize je hili jambo linamadhara ya kiasi gani kwa jamii. Mimi mkristo washikaji wangu wengi waislamu ila tangia naishi nao kitaa hatujawah kubaguan sikuu tunakula pamoja na kucheza pamoja. Hili jambo huwa wanafanya ili kugawa mawazo ya watanzania juu ya jambo lililopo mezani ila linamadhara makubwa sana. Udini unaleta machafuko ndani ya nchi na utengano na chuki je huu ndio mwelekeo wa CCM?

If we don't be smart enough hii issue itatupeleka pabaya sana. Viongozi wakubwa kama Jk huu ndo wakati wa kukemea hili jambo na waisalmu au wakristo mnaochekea hili jambo hamjitambui maana mnaandaa bomu kwa wajuu wenu
 
Kuzidiwa kwa hoja
 
Wa RC wengi hawapendi Raisi wenye dini ya kiislamu wata wapinga kwa visingizio vya kila aina. Acha tu hao watu wana chuki kali.
 
Yale ya Chadema kuambatana na Maaskofu Kwa mgongo wa harakati si sehemu ya udini kweli?
Ukiwa uwanja wa vita jiandae kupigana Kwa namna yoyote.
 
CCM baada ya kuelemewa na sakata la DP World imeamua kuwapa kandarasi mashehe ubwabwa akina Mwaipopo ili wawatumie Waislam kama bangusilo lao. Waislam kataeni udhalimu huu.
 
Kwa miaka sasa ccm wamekuwa wakihubiri udini kila wanapokuwa wamebanwa na wanaharakati na vyama pinzani ila tujiulize je hili jambo linamadhara ya kiasi gani kwa jamii. Mimi mkristo washikaji wangu wengi waislamu ila tangia naishi nao kitaa hatujawah kubaguan sikuu tunakula pamoja na kucheza pamoja. Hili jambo huwa wanafanya ili kugawa mawazo ya watanzania juu ya jambo lililopo mezani ila linamadhara makubwa sana. Udini unaleta machafuko ndani ya nchi na utengano na chuki je huu ndio mwelekeo wa CCM?

If we don't be smart enough hii issue itatupeleka pabaya sana. Viongozi wakubwa kama Jk huu ndo wakati wa kukemea hili jambo na waisalmu au wakristo mnaochekea hili jambo hamjitambui maana mnaandaa bomu kwa wajuu wenu
Mchuma Janga Atakula na wanae
 
CCM baada ya kuelemewa na sakata la DP World imeamua kuwapa kandarasi mashehe ubwabwa akina Mwaipopo ili wawatumie Waislam kama bangusilo lao. Waislam kataeni udhalimu huu.

Hao unaowaambia wamkatae huyo dhalimu, kwa upeo wao wanamwona kama shujaa, we utakuwa mgeni wa hao jamaa mana akili zao huwa wanazijua wao. Kiongozi akiwa anatokana na Imani yao huwa kwao kila jambo alifanyalo huwa ni sahihi hatakiwi kuguswa pengine (kuna masilahi ya siri wananeemekaga nae)
 
Hili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini.

Ikaja CHADEMA kikasemwa chama cha kikanda. Bado hamuoni kuwa CCM ndio adui wa hii nchi?
Hili la bandari baadhi ya wachungaji wanaonyesha Udini wao wazi kwenye mikutano ya cdm
 
Hili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini.

Ikaja CHADEMA kikasemwa chama cha kikanda. Bado hamuoni kuwa CCM ndio adui wa hii nchi?
Je ASKOFU GWAJIMA ambaye ni KIONGOZI wa KANISA na Kuwa Mbunge SIO UDINI ?
 
Hili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini.

Ikaja CHADEMA kikasemwa chama cha kikanda. Bado hamuoni kuwa CCM ndio adui wa hii nchi?
Upo sahihi
 
Nae shetani hutumia mbinu hii kuwarubuni wanadamu, kwa hiyo ccm wamefanya C&P toka kwa kaka yao!
 
Hili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini.

Ikaja CHADEMA kikasemwa chama cha kikanda. Bado hamuoni kuwa CCM ndio adui wa hii nchi?
CCM imejichokea inahitaji kupumzishwa
 
Watanzania washaona chama kipi kinakusanya viongozi wa dini moja kuhubiri siasa,wala aina haja ya kutumia nguvu tutakutaka kwenye sanduku la vikaratasi.
 
Back
Top Bottom