Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ccm ni chama.hatari sana kwa ustawi wa Taifa.Hili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini.
Ikaja CHADEMA kikasemwa chama cha kikanda. Bado hamuoni kuwa CCM ndio adui wa hii nchi?