Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kuzidiwa kwa hojaKwa miaka sasa ccm wamekuwa wakihubiri udini kila wanapokuwa wamebanwa na wanaharakati na vyama pinzani ila tujiulize je hili jambo linamadhara ya kiasi gani kwa jamii. Mimi mkristo washikaji wangu wengi waislamu ila tangia naishi nao kitaa hatujawah kubaguan sikuu tunakula pamoja na kucheza pamoja. Hili jambo huwa wanafanya ili kugawa mawazo ya watanzania juu ya jambo lililopo mezani ila linamadhara makubwa sana. Udini unaleta machafuko ndani ya nchi na utengano na chuki je huu ndio mwelekeo wa CCM?
If we don't be smart enough hii issue itatupeleka pabaya sana. Viongozi wakubwa kama Jk huu ndo wakati wa kukemea hili jambo na waisalmu au wakristo mnaochekea hili jambo hamjitambui maana mnaandaa bomu kwa wajuu wenu
Wa RC wengi hawapendi Raisi wenye dini ya kiislamu wata wapinga kwa visingizio vya kila aina. Acha tu hao watu wana chuki kali.Kwa miaka sasa ccm wamekuwa wakihubiri udini kila wanapokuwa wamebanwa na wanaharakati na vyama pinzani ila tujiulize je hili jambo linamadhara ya kiasi gani kwa jamii. Mimi mkristo washikaji wangu wengi waislamu ila tangia naishi nao kitaa hatujawah kubaguan sikuu tunakula pamoja na kucheza pamoja. Hili jambo huwa wanafanya ili kugawa mawazo ya watanzania juu ya jambo lililopo mezani ila linamadhara makubwa sana. Udini unaleta machafuko ndani ya nchi na utengano na chuki je huu ndio mwelekeo wa CCM?
If we don't be smart enough hii issue itatupeleka pabaya sana. Viongozi wakubwa kama Jk huu ndo wakati wa kukemea hili jambo na waisalmu au wakristo mnaochekea hili jambo hamjitambui maana mnaandaa bomu kwa wajuu wenu
Mchuma Janga Atakula na wanaeKwa miaka sasa ccm wamekuwa wakihubiri udini kila wanapokuwa wamebanwa na wanaharakati na vyama pinzani ila tujiulize je hili jambo linamadhara ya kiasi gani kwa jamii. Mimi mkristo washikaji wangu wengi waislamu ila tangia naishi nao kitaa hatujawah kubaguan sikuu tunakula pamoja na kucheza pamoja. Hili jambo huwa wanafanya ili kugawa mawazo ya watanzania juu ya jambo lililopo mezani ila linamadhara makubwa sana. Udini unaleta machafuko ndani ya nchi na utengano na chuki je huu ndio mwelekeo wa CCM?
If we don't be smart enough hii issue itatupeleka pabaya sana. Viongozi wakubwa kama Jk huu ndo wakati wa kukemea hili jambo na waisalmu au wakristo mnaochekea hili jambo hamjitambui maana mnaandaa bomu kwa wajuu wenu
CCM baada ya kuelemewa na sakata la DP World imeamua kuwapa kandarasi mashehe ubwabwa akina Mwaipopo ili wawatumie Waislam kama bangusilo lao. Waislam kataeni udhalimu huu.
Hili la bandari baadhi ya wachungaji wanaonyesha Udini wao wazi kwenye mikutano ya cdmHili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini.
Ikaja CHADEMA kikasemwa chama cha kikanda. Bado hamuoni kuwa CCM ndio adui wa hii nchi?
Je ASKOFU GWAJIMA ambaye ni KIONGOZI wa KANISA na Kuwa Mbunge SIO UDINI ?Hili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini.
Ikaja CHADEMA kikasemwa chama cha kikanda. Bado hamuoni kuwa CCM ndio adui wa hii nchi?
Je ASKOFU GWAJIMA ambaye ni KIONGOZI wa KANISA na Kuwa Mbunge SIO UDINI ?
Waislamu acheni udini mnaharibu taifa letu.Wa RC wengi hawapendi Raisi wenye dini ya kiislamu wata wapinga kwa visingizio vya kila aina. Acha tu hao watu wana chuki kali.
Upo sahihiHili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini.
Ikaja CHADEMA kikasemwa chama cha kikanda. Bado hamuoni kuwa CCM ndio adui wa hii nchi?
Swali kuntu sanaJe ASKOFU GWAJIMA ambaye ni KIONGOZI wa KANISA na Kuwa Mbunge SIO UDINI ?
Umewasahau na masheikhHili la bandari baadhi ya wachungaji wanaonyesha Udini wao wazi kwenye mikutano ya cdm
CCM imejichokea inahitaji kupumzishwaHili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini.
Ikaja CHADEMA kikasemwa chama cha kikanda. Bado hamuoni kuwa CCM ndio adui wa hii nchi?