CCM inatumia propaganda za udini na ukabila kukabiliana na vyama Makini vya upinzani

Ccm ni chama.hatari sana kwa ustawi wa Taifa.
 
CHADEMA walianzisha uzenji na ubara, CCM wamekuja na udini,, hivi vyama vyote viwili vinajitahidi kutumia ubaguzi na kugawanya waTz ili kupata kuungwa mkono, inshort vyama hivi vyote ni takataka
 
Bahati nzuri watanzania wengi wameelimika wala hawahangaiki na dini sababu wanajua ni mambo ya uongo tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…