Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wewe una uhusiano hata na kiongozi yeyote yule aliye karibu na Mzee wa Mangula umuulize kama Jumatano ya wiki hii hawajapokea Barua toka kwa waliofukuzwa?Sio CCM hii, labda Ile ya 2015 kurudi nyuma, CCM mpya chama kwanza, mtu baadae
Unazijua sheria za JF? Halafu tofautisha kati ya tetesi na uzushi!Kumbe ni tetesi
Sio CCM hii, labda Ile ya 2015 kurudi nyuma, CCM mpya chama kwanza, mtu baadae
kweli kabisa siasa za kishamba chakubanga na bichwa washamba kwelikweliMkuu kaa kimya tu, wale madiwani waliohama kule Hai kwa Mbowe, barua zao za kujiuzulu zilikuwa na maudhui sawa ila wakajichanganya kwenye majina. Wakati ule ndio ilikuwa hii project ya nunua wapinzani pazia la usajili limefunguliwa. Sasa hivi hii inayoitwa ccm mpya sterling ni babayenu naye anacheza siasa za kishamba ile mbaya. Bora hata hiyo ccm ya kabla ya 2015 wagombea wa uchaguzi wa ubunge walikuwa wanapatikana kwa ushindani, na sio hii mpya wahamiaji wanakuja na kupewa nafasi, waliofia chama wanabaki kupamba majukwaa ya kuwapokelea akina Msando na kina Kafulila, na kuishia kupeleka viongozi kwa waganga kuvuta nyota ya cdm iende ccm.
Sofia simba tayari bado Madabida na Stela Msambatavangu,Habari toka ndani ya CCM zinaeleza kwamba baadhi ya wanachama wa chama hicho waliofukuzwa, wameelekezwa kuandika barua za "kuomba msamaha" ili chama hicho "kiwasamehe" na kuwarudisha tena CCM.
Taarifa hizo zinadai kwamba zoezi hilo linafanyika kwa baadhi ya wanachama hao kuelekezwa kuandika barua na nini cha kuandika kwenye barua hizo na kisha hujadiliwa na kamati ambayo Mwenyekiti wake ni Mzee Philip Mangula na kufikishwa kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na kisha wanachama hao "kusamehemewa" kupitia kikao cha Halmashauri Kuu.
CCM kwa maigizo, mnampiku hata Mzee Majuto!!
Sio CCM hii, labda Ile ya 2015 kurudi nyuma, CCM mpya chama kwanza, mtu baadae
Sheria zinasemaje kuhusu tetesiUnazijua sheria za JF? Halafu tofautisha kati ya tetesi na uzushi!
Kumbe kupokea barua ndo tatizo, acha uvivu wa kufikiri , kama wameanfika barua wanayo haki ya kusikilizwa so kama imekuumiza ukaamua kutunga habari basi hilo ni tatizo lako binafsi, usiwagawie wenzako hapaWewe una uhusiano hata na kiongozi yeyote yule aliye karibu na Mzee wa Mangula umuulize kama Jumatano ya wiki hii hawajapokea Barua toka kwa waliofukuzwa?
Halafu hii kaulil mbiu yenu ya chama kwanza mtu baadaye si mnayo miaka yote, leo imekuwaje mpya?
Mtaji wa chama ni watu, acha waongeze mtaji.Sophia Simba anarejeshwa kundini
Mleta mada aweke ushahidi tu basi ili tumwamini!Sio CCM hii, labda Ile ya 2015 kurudi nyuma, CCM mpya chama kwanza, mtu baadae
Zitto alisema nchi inaongozwa na washambaSofia simba tayari bado Madabida na Stela Msambatavangu,
kumbe zile zilikuwa drama tu
Huƴo haelewi ƙitu msamehe ɓureWewe una uhusiano hata na kiongozi yeyote yule aliye karibu na Mzee wa Mangula umuulize kama Jumatano ya wiki hii hawajapokea Barua toka kwa waliofukuzwa?
Halafu hii kaulil mbiu yenu ya chama kwanza mtu baadaye si mnayo miaka yote, leo imekuwaje mpya?
unawafukuza wanachama kwa mbwembwe alafu unaenda kuwanunua wapinzani kwa gharama kubwa huku unashangiliaZitto alisema nchi inaongozwa na washamba
Hujui kitu kuhusu hilo chama chakavu,wewe unashinda kwenye korido hapo Lumumba yanayoamuliwa vyumbani huyajui.Sio CCM hii, labda Ile ya 2015 kurudi nyuma, CCM mpya chama kwanza, mtu baadae