Tetesi: CCM inawabebembeleza iliowafukuza!!

Lowassa alipohamia huko kwenu ilikuwaje?? Alipewa haki ya kugombea tena urais akawaacha wapigania chama kuleee!!
 
Lowassa alipohamia huko kwenu ilikuwaje?? Alipewa haki ya kugombea tena urais akawaacha wapigania chama kuleee!!

Ccm ndio mkawaiga ule upuuzi wa cdm juzi kwenye wale wagombea ubunge?
 
unawafukuza wanachama kwa mbwembwe alafu unaenda kuwanunua wapinzani kwa gharama kubwa huku unashangilia
Mantiki iko wazi. Kama unaweza kuweweseka hadi kutumia fedha kuwanunua wapinzani wako ili ionekane kuwa "unakubalika" inakuwaje ngumu kuwabebembeleza wale uliowafukuza "waombe radhi" ambapo haitatumika hata senti tano ya shaba?
 
Siasa si uadui. Kama una uwezo na hilo linakuuma, waambie waliofukuzwa wakatae kuandika barua
 
Siasa si uadui. Kama una uwezo na hilo linakuuma, waambie waliofukuzwa wakatae kuandika barua
TOT ilishakufa kitambo na Khadija Kopa zama zake zimepita, sidhani kama bado mipasho ina thamani ya zama zile!!
 
TOT ilishakufa kitambo na Khadija Kopa zama zake zimepita, sidhani kama bado mipasho ina thamani ya zama zile!!

Kama akili yako imekutuma huo ni mpasho basi una tafakuri nzuri Sana na hao wanaokubali kulazimishwa kuandika barua badala ya kuhamia chama kingine ni wasaliti wa yale tuyatamaniayo na hilo jambo ni la kidikteta, linaminya demokrasia. Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…