Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Fikiria CCM ndiyo ingekuwa madarakani wakati Kinjekitile Ngwale akipanga vita ya majimaji au Mkwawa akipinga uvamizi wa himaya yake.
Unadhani CCM ya wakati huo ingesita kuwaita hao ambao leo tunawaita Mashujaa kuwa ni wahaini au magaidi?
Nadhani wakati huo CCM ingempa nishani ya uzalendo na heshima kubwa Chifu Mangungo wa msowero.