Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
wangetandikwa viboko hadharaniFikiria CCM ndiyo ingekuwa madarakani wakati Kinjekitile Ngwale akipanga vita ya majimaji au Mkwawa akipinga uvamizi wa himaya yake.
Unadhani CCM ya wakati huo ingesita kuwaita hao ambao leo tunawaita Mashujaa kuwa ni wahaini au magaidi?
Nadhani wakati huo CCM ingempa nishani ya uzalendo na heshima kubwa Chifu Mangungo wa msowero.
Mawazo ya kipuuzi hayo, hao unaowataja hakuna aliyeongoza nchi waliongoza makabila yao ambavyo ni vikundi vidogo tu.Fikiria CCM ndiyo ingekuwa madarakani wakati Kinjekitile Ngwale akipanga vita ya majimaji au Mkwawa akipinga uvamizi wa himaya yake.
Unadhani CCM ya wakati huo ingesita kuwaita hao ambao leo tunawaita Mashujaa kuwa ni wahaini au magaidi?
Nadhani wakati huo CCM ingempa nishani ya uzalendo na heshima kubwa Chifu Mangungo wa msowero.
Wangetandika makabila yao, mnamkuza sana Mkwawa utafikiri alikuwa kiongozi wa nchi yetu. Huyo angechapa wahehe tu, kila kabila lilikuwa na kiongozi wakewangetandikwa viboko hadharani
Kwanza elezea mawazo ya kipuuzi ni yapi hayo. Halafu umeelewa maudhui ya bandiko hili na mfano mlingano niliotumia?Mawazo ya kipuuzi hayo, hao unaowataja hakuna aliyeongoza nchi waliongoza makabila yao ambavyo ni vikundi vidogo tu.
Hawa CCM wa sasa wangekaa upande wa wauza watumwa. Wangesema kina Tipu tipu ni wawekezaji.Same old BS,baba levo,Tale wawakilishi wa wananchi,Bashite Waziri,,Lissu yupo Jela,,nini cha kutegemea?
sawaWangetandika makabila yao, mnamkuza sana Mkwawa utafikiri alikuwa kiongozi wa nchi yetu. Huyo angechapa wahehe tu, kila kabila lilikuwa na kiongozi wake