Nyie na baba yenu Magu mlijiaminisha upinzani umekufa nchini, mnachokishuhudia kinawajambisha sana.Sasa mbona Chadema awaishi lawama kwa mtu anaekata pumzi salakatul mauti?
Wanajaribu kukununua ukikataa mabavu yanaanza. sasa mwisho wa mabavu ni mauti.Uongozi wa CCM awamu ya tano chini ya Magufuli unategemea Unyang'anyi, mabavu, ukiukwaji wa haki na Ubabe wazi wazi.
CCM wanashinda kwa asilimia 100 kutokana na ile idadi ya tume kwamba wamejiandikisha watu m29, wakati wapiga kura halisi ni nusu ya hao.Kwani ccm wanahajagani yakutumia nguvu katika kampeni?
Kampeni walishamaliza siku nyiiiingiiii saaanaaa, na ushindi wa magufuli mwaka huuu ni wa asilimia miamojaaa.
Ndiomaaanaa tumewaaacha washuhudia kiki za miujiza ili wahangaike wenyewe kuzunguka kila siku ili wasijeraum hawakufanya kampeni.
Leo hiiii tuu ukimuuliza mzee wa kiki za miujiza, toka arudi kutoka ugaibuni mpaka leo, anashinda kwenye nyomi ya watu rundo, muulize kama atanakumbuka kuvaaa barakoa, au kunawa mikono. Hii inaonesha korona magufuli ameitokomezaaa. Walibisha saana na kuomba rock down huku nao wakifanya kiki za maigizo za kufanya vikao kwa njia ya mtandao, jee mbona kwa sasa hizo kiki hazipo? Kwahiyo nao wanaunga juhudi za magufuli Tanzania hakuna korona?
Kama wanaamini korona ipo kama walivyokuwa wakiwasaport mabeberu wao, jeee kunajuhudi zozote huyu mzee wa kiki za miujiza amechukua ilikorona isiendeleeee?
Sasa mbona Chadema awaishi lawama kwa mtu anaekata pumzi salakatul mauti?
Mzee Corona imeingiaje hapa.....hivi kusomba wasanii 200 huku si kuhangaika!😂😂Kwani ccm wanahajagani yakutumia nguvu katika kampeni?
Kampeni walishamaliza siku nyiiiingiiii saaanaaa, na ushindi wa magufuli mwaka huuu ni wa asilimia miamojaaa.
Ndiomaaanaa tumewaaacha washuhudia kiki za miujiza ili wahangaike wenyewe kuzunguka kila siku ili wasijeraum hawakufanya kampeni.
Leo hiiii tuu ukimuuliza mzee wa kiki za miujiza, toka arudi kutoka ugaibuni mpaka leo, anashinda kwenye nyomi ya watu rundo, muulize kama atanakumbuka kuvaaa barakoa, au kunawa mikono. Hii inaonesha korona magufuli ameitokomezaaa.
Walibisha saana na kuomba rock down huku nao wakifanya kiki za maigizo za kufanya vikao kwa njia ya mtandao, jee mbona kwa sasa hizo kiki hazipo? Kwahiyo nao wanaunga juhudi za magufuli Tanzania hakuna korona?
Kama wanaamini korona ipo kama walivyokuwa wakiwasaport mabeberu wao, jeee kunajuhudi zozote huyu mzee wa kiki za miujiza amechukua ilikorona isiendeleeee?
Kwani wasaniii hawana haki ya kuwa wanasiasa? Mbona kilachama kinawasaniii wenye mapenzi mema na vyama vyao?Mzee Corona imeingiaje hapa, hivi kusomba wasanii 200 huku si kuhangaika!😂😂
Hizotakwimu za kusema nusu ya hao nitakwimu gani mzeee?CCM wanashinda kwa asilimia 100 kutokana na ile idadi ya tume kwamba wamejiandikisha watu m29, wakati wapiga kura halisi ni nusu ya hao.
Then unakuta na wewe una familia unaiongozaKwani ccm wanahajagani yakutumia nguvu katika kampeni?
Kampeni walishamaliza siku nyiiiingiiii saaanaaa, na ushindi wa magufuli mwaka huuu ni wa asilimia miamojaaa.
Ndiomaaanaa tumewaaacha washuhudia kiki za miujiza ili wahangaike wenyewe kuzunguka kila siku ili wasijeraum hawakufanya kampeni.
Leo hiiii tuu ukimuuliza mzee wa kiki za miujiza, toka arudi kutoka ugaibuni mpaka leo, anashinda kwenye nyomi ya watu rundo, muulize kama atanakumbuka kuvaaa barakoa, au kunawa mikono. Hii inaonesha korona magufuli ameitokomezaaa.
Walibisha saana na kuomba rock down huku nao wakifanya kiki za maigizo za kufanya vikao kwa njia ya mtandao, jee mbona kwa sasa hizo kiki hazipo? Kwahiyo nao wanaunga juhudi za magufuli Tanzania hakuna korona?
Kama wanaamini korona ipo kama walivyokuwa wakiwasaport mabeberu wao, jeee kunajuhudi zozote huyu mzee wa kiki za miujiza amechukua ilikorona isiendeleeee??
Jenga hoja we we acha kuvamia usivyowezaaa.Then unakuta na wewe una familia unaiongoza
Mkuu mbona mimi nimesema kitu simple tu, kuwa waweza kuta na wewe uko na familia wanakutegemeaJenga hoja we we acha kuvamia usivyowezaaa.
Kiki za jamaa yenu tunaziweka kweupeee aache kutapeliii watuu
Wanalaumu kwa sababu baada ya kuishiwa pumzi amebaki kupiga wapinzani kwa kutumia dola.....Sasa mbona Chadema awaishi lawama kwa mtu anaekata pumzi salakatul mauti?
Sasa mbona Chadema awaishi lawama kwa mtu anaekata pumzi salakatul mauti?
Wamekuwa wakimpotosha m,kiti kwa maslahi yao binafsiNyie na baba yenu Magu mlijiaminisha upinzani umekufa nchini, mnachokishuhudia kinawajambisha sana.
Hebu "warock down" kabisa mkuuKwani ccm wanahajagani yakutumia nguvu katika kampeni?
Kampeni walishamaliza siku nyiiiingiiii saaanaaa, na ushindi wa Magufuli mwaka huuu ni wa asilimia miamojaaa.
Ndiomaaanaa tumewaaacha washuhudia kiki za miujiza ili wahangaike wenyewe kuzunguka kila siku ili wasijeraum hawakufanya kampeni.
Leo hii tu ukimuuliza mzee wa kiki za miujiza, toka arudi kutoka ugaibuni mpaka leo, anashinda kwenye nyomi ya watu rundo, muulize kama atanakumbuka kuvaaa barakoa, au kunawa mikono. Hii inaonesha korona magufuli ameitokomezaaa. Walibisha saana na kuomba rock down huku nao wakifanya kiki za maigizo za kufanya vikao kwa njia ya mtandao, je mbona kwa sasa hizo kiki hazipo? Kwahiyo nao wanaunga juhudi za magufuli Tanzania hakuna korona?
Kama wanaamini korona ipo kama walivyokuwa wakiwasaport mabeberu wao, jeee kunajuhudi zozote huyu mzee wa kiki za miujiza amechukua ilikorona isiendeleeee?