Uchaguzi 2020 CCM ipo katika 'Sakaratul Maut', tutawasikia wakisema mengi sana

Uchaguzi 2020 CCM ipo katika 'Sakaratul Maut', tutawasikia wakisema mengi sana

Bakwata wazidi kuizamisha CCM ,bora Bakwata wangekaa kimya kuliko kusema wanaiunga mkono CCM,mara hii CCM haiungiki mikono wala miguu.
Waislamu wanajua kuwa viongozi wao waliopo majela bila ya hukumu watatolewa huko na Tundu Lisu,sasa Muislamu gani ataipa kura yake CCM,labda muislamu aliyelaniwa na mwenyezi Mungu,ndio ataipa kura CCM.
 
Amerudi CCM toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
Katamka CCM ninaumwa kwelikweli
Mgonjwa kasema dawa,kaitaka hadharani
CCM matatani inataka suguliwa.
 
Hujui teke la punda anaye elekea kukata roho?? Linataka umakini ili kuakikisha anakufa salama pasi na kuwaathiri wengine.
Sasa mbona Chadema awaishi lawama kwa mtu anaekata pumzi salakatul mauti?
 
Back
Top Bottom