Bakwata wazidi kuizamisha CCM ,bora Bakwata wangekaa kimya kuliko kusema wanaiunga mkono CCM,mara hii CCM haiungiki mikono wala miguu.
Waislamu wanajua kuwa viongozi wao waliopo majela bila ya hukumu watatolewa huko na Tundu Lisu,sasa Muislamu gani ataipa kura yake CCM,labda muislamu aliyelaniwa na mwenyezi Mungu,ndio ataipa kura CCM.