CCM Iringa Vijijini yaanza Uchukuaji Fomu za Ubunge jimbo la Ismani kwa Lukuvi

CCM Iringa Vijijini yaanza Uchukuaji Fomu za Ubunge jimbo la Ismani kwa Lukuvi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini kimetangaza rasmi kuanza kwa zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Ismani, kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, William Vangimembe Lukuvi.

maxresdefault.jpg
Kwa mujibu wa Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Sure Mwasanguti, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wilayani humo, Wanachama wote wenye sifa wanakaribishwa kuchukua na kurejesha fomu hizo kuanzia tarehe 17 Aprili hadi 18 Aprili 2026.

1776406831953.png
Amesema zoezi hilo litafanyika kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni katika ofisi husika, na kuwataka wanachama kujitokeza kwa wingi kushiriki mchakato huo muhimu wa kidemokrasia ndani ya chama.

Pia soma: TANZIA - Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia
 
Wakat wa bint lukuvi kujaribu bahat yake maana CCM Kila mtoto wa hayat wanataka achukue nafas yule wa jenista walimsagia kinguni alikuwa anachukua jimbo
 
Katibu wa CCM wilaya ambaye pia ni mkurugezi wa uchaguzi??? Au sijaelewa! Inawezekanaje hii!
 
Back
Top Bottom