Uchaguzi 2020 CCM Iringa yapiga marufuku watia nia ya ubunge na udiwani kuweka vipeperushi mitandaoni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Iringa imepiga marufuku watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kuweka vipeperushi na mabango mitaani na mitandaoni.

Hatua hii inalenga kupunguza vurugu na mizaha ndani ya chama.

SAM_0756.JPG

Chanzo: Azam tv!
 
Sielewe kitu kimoja yani inamaana hao walioko kwenye ccm hawatakagi uongozi au maana hawa wanaotoka vyama pinzani wanapewa nafasi za kugombea tena ubunge ,,,,dahhhhhhhhhh kwahyo tunawajengea wengine wanakuja kuchukua kiurahisi ,,,,
Juu ya hili ccm tumefel sanaa
 
Hiyo ndio demokrasia bwashee!
 
Sielewe kitu kimoja yani inamaana hao walioko kwenye ccm hawatakagi uongozi au maana hawa wanaotoka vyama pinzani wanapewa nafasi za kugombea tena ubunge ,,,,dahhhhhhhhhh kwahyo tunawajengea wengine wanakuja kuchukua kiurahisi ,,,,
Juu ya hili ccm tumefel sanaa
Tulia hujui kitu.
 
Aaah kweli ccm mnambo ndo maana magufuli anakunyima hata Udas wanapewa watoto wadogo wewe mzee mzima na Pascal Mayalla na mzee NAWATAFUNA mnakufa na buku 7 tu huku wenzio wakila mshavu.
Tunauza kahawa na Al Kasus vijiweni huku na kwa siku ni zaidi ya elfu 20 Sasa nitegemee hyo usemayo ya nini?!!!vijana tunakipenda na kukipambania CCM bila kulipwa Bali kwa kujua umuhimu wake kwa historia ya watu wa taifa hili,kalaghabaho!!
 
Sasa wewe muuza Alkasusu unajuwa nini
 
Sasa wewe muuza Alkasusu unajuwa nini
Kwi kwi kwi kwi acheni unyanyapaa jamani,mbona vijana wa CDM mnatudharau sana sisi vijana wa uswahilini tulioamua kufuata kauli mbiu ya mh.Rais ya HAPA KAZI TU?!!!

Hicho kidogo ninachokipata kupitia Al Kasusu huwa nakirudisha kwa wanangu ifikapo jioni,kamwe sikinunulii FARU JOHN ile hatimiliki ya "mh.mwenyekiti"
 
Wewe utakuwa ndo ulimpiga warioba alivyowaletea rasimu.
 
Hahahaaaa mwenyekiti na mwanawe wako hoi kwa Bapa!
 
Wewe utakuwa ndo ulimpiga warioba alivyowaletea rasimu.
Blaza usiseme hivyo yaani ninavyomheshimu na kumpenda Yule mzee kamwe siwezi kufanya hayo,huwa ninatoka kwa miguu hapa kijiweni Tandale kupitia Sinza kupandisha kule chuoni mnakosoma wasomi lengo langu nimsikilize ktka midahalo ya KIGODA CHA MWALIMU na kina profesa Issa Shivji
 
Back
Top Bottom