Uchaguzi 2020 CCM Iringa yapiga marufuku watia nia ya ubunge na udiwani kuweka vipeperushi mitandaoni!

Uchaguzi 2020 CCM Iringa yapiga marufuku watia nia ya ubunge na udiwani kuweka vipeperushi mitandaoni!

Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Iringa imepiga marufuku watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kuweka vipeperushi na mabango mitaani na mitandaoni.

Hatua hii inalenga kupunguza vurugu na mizaha ndani ya chama.


Chanzo: Azam tv!
Wanaogopa tutawafahamu vichaa wao waliotia nia.
Kule Kinondoni naona Shika naye katia nia
 
Mimi namtibu mtoto wa chairman wako hapa....... Acheni ulevi hapo Ufipa!
Alaa kumbeee huyu ni mtoto wa mh.mwenyekiti?!! Ndo Mana ananidharau mm muuza Al Kasusu....lakini ndo walivyo hao watoto wa wanene,baba zao kutwaaa kupiga,kukwepa Kodi na .........yaani hatari tupu kamarade
 
Mbelgiji akitua tu anaungana na wale wakapandishe bendera pamoja.


Ndo maana mnaishia kumegwa na wazee wenye umri babu zenu. Mmekosa nini mpaka unaishia kulipwa elfu 7 na ole wenu msipokomaa wanaume watazidi kuwaletea vicheche ndani.
 
Back
Top Bottom