johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiyo ndio demokrasia bwashee!Sielewe kitu kimoja yani inamaana hao walioko kwenye ccm hawatakagi uongozi au maana hawa wanaotoka vyama pinzani wanapewa nafasi za kugombea tena ubunge ,,,,dahhhhhhhhhh kwahyo tunawajengea wengine wanakuja kuchukua kiurahisi ,,,,
Juu ya hili ccm tumefel sanaa
Basi mshahara wa 7 kwa siku unawatosha ndo maana mmegoma kupandisha bendera .Hiyo ndio demokrasia bwashee!
Tulia hujui kitu.Sielewe kitu kimoja yani inamaana hao walioko kwenye ccm hawatakagi uongozi au maana hawa wanaotoka vyama pinzani wanapewa nafasi za kugombea tena ubunge ,,,,dahhhhhhhhhh kwahyo tunawajengea wengine wanakuja kuchukua kiurahisi ,,,,
Juu ya hili ccm tumefel sanaa
Tulia hujui kitu.
Mbowe angekuwa mmoja wao sema tu " alilipiwa" faini na mchungaji Msigwa!Basi mshahara wa 7 kwa siku unawatosha ndo maana mmegoma kupandisha bendera .
Mbowe angekuwa mmoja wao sema tu " alilipiwa" faini na mchungaji Msigwa!
Alishavalishwa jezi Segerea ndugu wa Mchungaji Msigwa wakamlipia faini!Kwani Mbowe analipwa elfu 7 kama wewe mpaka akose faini yakutoka jela?
Alishavalishwa jezi Segerea ndugu wa Mchungaji Msigwa wakamlipia faini!
Tunauza kahawa na Al Kasus vijiweni huku na kwa siku ni zaidi ya elfu 20 Sasa nitegemee hyo usemayo ya nini?!!!vijana tunakipenda na kukipambania CCM bila kulipwa Bali kwa kujua umuhimu wake kwa historia ya watu wa taifa hili,kalaghabaho!!Aaah kweli ccm mnambo ndo maana magufuli anakunyima hata Udas wanapewa watoto wadogo wewe mzee mzima na Pascal Mayalla na mzee NAWATAFUNA mnakufa na buku 7 tu huku wenzio wakila mshavu.
Tunauza kahawa na Al Kasus vijiweni huku na kwa siku ni zaidi ya elfu 20 Sasa nitegemee hyo usemayo ya nini?!!!vijana tunakipenda na kukipambania CCM bila kulipwa Bali kwa kujua umuhimu wake kwa historia ya watu wa taifa hili,kalaghabaho!!
Kwi kwi kwi kwi acheni unyanyapaa jamani,mbona vijana wa CDM mnatudharau sana sisi vijana wa uswahilini tulioamua kufuata kauli mbiu ya mh.Rais ya HAPA KAZI TU?!!!Sasa wewe muuza Alkasusu unajuwa nini
Kwi kwi kwi kwi acheni unyanyapaa jamani,mbona vijana wa CDM mnatudharau sana sisi vijana wa uswahilini tulioamua kufuata kauli mbiu ya mh.Rais ya HAPA KAZI TU?!!!
Hicho kidogo ninachokipata kupitia Al Kasusu huwa nakirudisha kwa wanangu ifikapo jioni,kamwe sikinunulii FARU JOHN ile hatimiliki ya "mh.mwenyekiti"
Kama unautamani udas karibu CCM meku huko Ufipa mbege itawauwa.Aaah kweli ccm mnambo ndo maana magufuli anakunyima hata Udas wanapewa watoto wadogo wewe mzee mzima na Pascal Mayalla na mzee NAWATAFUNA mnakufa na buku 7 tu huku wenzio wakila mshavu.
Kama unautamani udas karibu CCM meku huko Ufipa mbege itawauwa.
Hahahaaaa mwenyekiti na mwanawe wako hoi kwa Bapa!Kwi kwi kwi kwi acheni unyanyapaa jamani,mbona vijana wa CDM mnatudharau sana sisi vijana wa uswahilini tulioamua kufuata kauli mbiu ya mh.Rais ya HAPA KAZI TU?!!!
Hicho kidogo ninachokipata kupitia Al Kasusu huwa nakirudisha kwa wanangu ifikapo jioni,kamwe sikinunulii FARU JOHN ile hatimiliki ya "mh.mwenyekiti"
Mimi namtibu mtoto wa chairman wako hapa....... Acheni ulevi hapo Ufipa!Wewe mwenyewe wamekunyima
Blaza usiseme hivyo yaani ninavyomheshimu na kumpenda Yule mzee kamwe siwezi kufanya hayo,huwa ninatoka kwa miguu hapa kijiweni Tandale kupitia Sinza kupandisha kule chuoni mnakosoma wasomi lengo langu nimsikilize ktka midahalo ya KIGODA CHA MWALIMU na kina profesa Issa ShivjiWewe utakuwa ndo ulimpiga warioba alivyowaletea rasimu.
ππππHahahaaaa mwenyekiti na mwanawe wako hoi kwa Bapa!