PreGE2025 CCM Iringa Yasisitiza Ubunifu kwa Viongozi na Kutekeleza Ilani ya Chama

PreGE2025 CCM Iringa Yasisitiza Ubunifu kwa Viongozi na Kutekeleza Ilani ya Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Viongozi wamehasishwa kuwa wabunifu na wenye kujiongeza zaidi katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi

===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo, amewahamasisha wananchi kujiandaa kwa uchaguzi kwa kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo.



“Wananchi tuna wajibu mkubwa wa kuchagua viongozi wenye maono na dhamira ya dhati ya kuwatumikia watu na kuleta maendeleo ya kweli,” amesema mbele ya wanahabari

Soma pia: CCM Iringa: Watiania wanaojipitisha majimboni kabla ya muda waambieni tutawafyeka

Ametoa wito kwa kila mmoja kutumia haki ya kupiga kura kwa busara ili kuchagua viongozi watakaosimamia vizuri maslahi ya wananchi.

Chanzo: habariclouds
 
Back
Top Bottom