Viongozi wamehasishwa kuwa wabunifu na wenye kujiongeza zaidi katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi
===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo, amewahamasisha wananchi kujiandaa kwa uchaguzi kwa kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo.
Your browser is not able to display this video.
“Wananchi tuna wajibu mkubwa wa kuchagua viongozi wenye maono na dhamira ya dhati ya kuwatumikia watu na kuleta maendeleo ya kweli,” amesema mbele ya wanahabari