MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Inasikitisha sana viongozi waandamizi CHADEMA kunung'unikia mambo ya ndani ya CCM. MwanaCHADEMA kulalamikia uteuzi wa mgombea urais wa CCM inaashiria nini?Wana CHADEMA wengi sana huku mitaani wanaomuunga Mkono Mama.
CHADEMA hususani viongozi wao hawajitambui hata kidogoInasikitisha sana viongozi waandamizi CHADEMA kunung'unikia mambo ya ndani ya CCM. MwanaCHADEMA kulalamikia uteuzi wa mgombea urais wa CCM inaashiria nini?
Umeandika porojoKutokana na wanaCHADEMA kuwa mstari wa mbele kupinga na kukosoa mambo mbalimbali yanayoendelea wakati huu wa uchaguzi ninashauri chama chetu CCM kiwape hawa ndugu zetu nafasi maalum ya kupendekeza wagombea wanaowataka. Imefika sehemu viongozi waandamizi wa CHADEMA wamejiunga na Polepole kusema hawamtaki mgombea urais wa CCM Dr Samia Suluhu kama vile akiwekwa mwanaCCM mwingine itawasaidia kupiga hatua kisiasa.
Tunajua kila mtanzania wakiwemo wanaCHADEMA, anatambua bila CCM imara nchi itayumba ila pia jaribuni kuheshimu maamuzi ya mkutano mkuu wa CCM. Mgombea urais tayari kashapatikana na hakuna namna ya kuurudia mchakato hivyo CHADEMA wajitahidi kabla ya 2030 kupendekeza mwanaCCM wanayedhani atakuwa Rais bora kwa nchi. Kwa sasa watanzania tunaenda na Mama Samia.
Najua CHADEMA pia mnafurahia uongozi wa mama ila mnayumbishwa na watu kama Polepole, Mange Kimambi, Maria, Dayon Monsoh na James Delicious. Kuweni na msimamo mumuunge mama mkono kwa kumpigia kura.
Tuliishawaruhusu ndio maana akipita huyu wanafurahi na akipita yule wanang'unika!Kutokana na wanaCHADEMA kuwa mstari wa mbele kupinga na kukosoa mambo mbalimbali yanayoendelea wakati huu wa uchaguzi ninashauri chama chetu CCM kiwape hawa ndugu zetu nafasi maalum ya kupendekeza wagombea wanaowataka. Imefika sehemu viongozi waandamizi wa CHADEMA wamejiunga na Polepole kusema hawamtaki mgombea urais wa CCM Dr Samia Suluhu kama vile akiwekwa mwanaCCM mwingine itawasaidia kupiga hatua kisiasa.
Tunajua kila mtanzania wakiwemo wanaCHADEMA, anatambua bila CCM imara nchi itayumba ila pia jaribuni kuheshimu maamuzi ya mkutano mkuu wa CCM. Mgombea urais tayari kashapatikana na hakuna namna ya kuurudia mchakato hivyo CHADEMA wajitahidi kabla ya 2030 kupendekeza mwanaCCM wanayedhani atakuwa Rais bora kwa nchi. Kwa sasa watanzania tunaenda na Mama Samia.
Najua CHADEMA pia mnafurahia uongozi wa mama ila mnayumbishwa na watu kama Polepole, Mange Kimambi, Maria, Dayon Monsoh na James Delicious. Kuweni na msimamo mumuunge mama mkono kwa kumpigia kura.
Wahamie CHADEMAButiku, Warioba hawataki hata kumsikia Samia.
Hii comment yako ungefupisha kwa kusema "hata CHADEMA wanataka kuiona CCM imara kwa manufaa ya nchi"..... CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo CHADEMA.CCM ndicho chama kinachoongoza serikali ikiwemo vyombo vya ulinzi na usalama (Vyombo vya Dola)
Hivyo kama CCM wasipofuata katiba,kanuni na Sheria walizojiwekea ndani ya chama Chao ni hatari Kwa nchi kwasababu wataendelea kupuuza Katiba,Sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii !.Unapoona CHADEMA wanaingalia CCM basi itakuwa Kwa jicho la Demokrasia na si kitu kingine !
Kufanya Vizuri Kwa CCM kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama Chao Kwa kufuata misingi ya haki na demokrasia kutapelekea Viongozi wa nchi ambao wanatokana na chama Cha Mapinduzi kufuata Sheria na katiba ikiwemo misingi ya kidemokrasia !
Kama kiongozi wa chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa nchi amepuuza misingi ya demokrasia ya chama chake ikiwemo kuvunja katiba,Je huyo Rais unadhani anaweza kuheshimu misingi ya demokrasia ya nchi kwenye Uchaguzi mkuu?
Kama sivyo,basi CHADEMA Wana haki ya kuhoji yanayoendelea CCM !
Hii komenti hukupaswa kuandika,komenti yangu imejitosheleza na kueleweka Kwa yeyote mwenye akili (timamu) ,sema Sasa kwasababu wewe ni mwanamke,hivyo ni hulka yenu kuandika andika!Hii comment yako ungefupisha kwa kusema "hata CHADEMA wanataka kuiona CCM imara kwa manufaa ya nchi"..... CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo CHADEMA.