Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
WanaJf,
SALAAM!
Mara nyingi ikitokea viongozi wastaafu wa nafasi za juu kulalamikia jambo fulani kuhusu uendeshaji wa nchi - huja vijana wa chama maarufu kwa UVCCM na makundi mengine ya wanufaika wa enzi hizo kushambulia hoja, maoni na mtizamo wa mtu.
Kama ilivyotokea kwa kundi la CDE Kinana, Makamba, na wenzake kushambuliwa ndivyo leo Dkt Bashiru Ally Kakunda anavyoshambuliwa. Hili halina afya kwa CCM yetu - Bashiru Ally Kakunda ni mbunge na hoja, maoni na mtizamo anaotoa anautoa kama mbunge lkn pia kama mwananchi kikatiba. Iwe CCM au Serikali inapaswa kulipa hili uzito wa juu badala kufanya personal attacks - njia sahihi zipo nyingi sana na zimetumika tangu enzi za Mwl JK Nyerere.
Tujiulize - leo Nape anapiga kelele tena? Leo Polepole anapiga mawe wahuni? Leo Kinana analalamika? Leo Makamba analalamika?, leo Bashe analalamika?
Jibu - ni hapana hawalalamiki - So, kwa nini hawalalamiki?
Ushauri:-
CCM na Serikali wasitumie nguvu kumkabiri Dkt Bashiru Ally Kakunda watumie hekima na busara kwa kufahamu kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu.
Msakila Kabende
Kakonko.