Waziri Mkuu mstaafu Sinde Warioba, nae pia kwa maoni binafsi ameshauri Dkt Bashiru Ally Kakunda asipuuzwe.
Kupaka rangi mawe kipindi kiongozi ajapo ziara huficha kwa muda shida za wananchi lkn ukweli unabaki kuwa hapo hapo kwamba jamii husika inahitaji maboresho makubwa