CCM isiwatupe wana Chadema na wapinzani wengine walioenda huko, itawamaliza kisiasa, wapewe nafasi 40 ubunge

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Hali ya kisiasa kwa wanaChadema walioenda CCM si nzuri kwa kweli.

Hofu kubwa ni kugeukwa na CCM, na wakigeukwa tu basi itakuwa ndio mazishi yao ya kisiasa. Huku hofu ni kubwa ya kukatwa jina.

Wengi ni wageni hawana mtandao wa kura ndani ya CCM, jamani CCM msiwatupe, vikao vya juu viwakate wenyeji ili wanaChadema wapite.

Tunahitaji ubunge nafasi 40 pamoja na teuzi nyingine nafasi 30.
 
We lijuakali unaanza kuogopa nini si uliomba hata kazi ya kudeki?
Hali ya kisiasa kwa wanaChadema walioenda CCM si nzuri kwa kweli.

Hofu kubwa ni kugeukwa na CCM, na wakigeukwa tu basi itakuwa ndio mazishi yao ya kisiasa. Huku hofu ni kubwa ya kukatwa jina.

Wengi ni wageni hawana mtandao wa kura ndani ya CCM, jamani CCM msiwatupe, vikao vya juu viwakate wenyeji ili wanaChadema wapite.

Tunahitaji ubunge nafasi 40 pamoja na teuzi nyingine nafasi 30.
 
Ccm asilia wana hasira sn,hawamwelewi mwenyekiti wao. Wanaweza mwaga mboga kama wataendelea kula shavu hao wahamiaji.

Tuijue idadi kwa orodha yao hapa taxa chari
JamiiForums2141342807.jpg
 
Hahahaha tushakujua wewe, mapema hii umeanza kuweweseka si uliondoka kwa mbwembwe na mikogo sana.... endelea kulialia.

Pumbavu kabisa..!!
 
Wakatwe tu, hawana hatimiliki ya ubunge.
 
Tutatumia falsafa ya "Nabii hakubaliki kwao" kwa hiyo ni kweli Wageni tutawapa kipaumbele.
 
Hali ya kisiasa kwa wanaChadema walioenda CCM si nzuri kwa kweli.

Hofu kubwa ni kugeukwa na CCM, na wakigeukwa tu basi itakuwa ndio mazishi yao ya kisiasa. Huku hofu ni kubwa ya kukatwa jina.

Wengi ni wageni hawana mtandao wa kura ndani ya CCM, jamani CCM msiwatupe, vikao vya juu viwakate wenyeji ili wanaChadema wapite.

Tunahitaji ubunge nafasi 40 pamoja na teuzi nyingine nafasi 30.
CCM halisi hatuhitaji wahamiaji
 
Hamna tabu,,watapata wote bila shida,,nafasi 70 kitu kidogo sana,,watapata wote..
 
Back
Top Bottom