Lijualikali ni mropokaji, hafai kuaminiwaSana ccm wawe wavumilivu,wawape nafasi
Hali ya kisiasa kwa wanaChadema walioenda CCM si nzuri kwa kweli.
Hofu kubwa ni kugeukwa na CCM, na wakigeukwa tu basi itakuwa ndio mazishi yao ya kisiasa. Huku hofu ni kubwa ya kukatwa jina.
Wengi ni wageni hawana mtandao wa kura ndani ya CCM, jamani CCM msiwatupe, vikao vya juu viwakate wenyeji ili wanaChadema wapite.
Tunahitaji ubunge nafasi 40 pamoja na teuzi nyingine nafasi 30.
Membe amesema kutoka sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokeaKuna wahuni na walevi hawawezi kukatwa. Kwa mfano
Yule mpuuzi Likualikali na Li mwita li waitara
Membe anawajaza matumaini hewa, ccm ina wenyewe na wenyewe ndio sisiMembe amesema kutoka sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea
CCM halisi hatuhitaji wahamiajiHali ya kisiasa kwa wanaChadema walioenda CCM si nzuri kwa kweli.
Hofu kubwa ni kugeukwa na CCM, na wakigeukwa tu basi itakuwa ndio mazishi yao ya kisiasa. Huku hofu ni kubwa ya kukatwa jina.
Wengi ni wageni hawana mtandao wa kura ndani ya CCM, jamani CCM msiwatupe, vikao vya juu viwakate wenyeji ili wanaChadema wapite.
Tunahitaji ubunge nafasi 40 pamoja na teuzi nyingine nafasi 30.
Hamna tabu,,watapata wote bila shida,,nafasi 70 kitu kidogo sana,,watapata wote..Hali ya kisiasa kwa wanaChadema walioenda CCM si nzuri kwa kweli.