CCM itakuja kugawanyika na kuzalisha chama kingine cha upinzani na hapo ndo itakua mwanzo wa upinzani imara

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
90% ya watanzania wote ni ccm.
ukichekiki mwenendo wa ccm watu wengi wanataka vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa kwa kura.
CCM kuna watu wengi sana ambao wanakosa teuzi ila wanavumilia tu.kwa machungu

makada wote wa ccm wazee kwa vijana shabaha yao ni teuzi ili watafune keki ya nchi tatizo linakuja ni wengi sana chama kinashindwa kwa kuwapeleka.

watu wanasema Tanzania itakua kama china ya chama kimoja

china kule hakuna siasa watu wako busy serious na mambo mengine hakuna anae mendea teuzi.

hii ccm haifiki 2050 haijagawanyika
 
Chai
 
Hakika.
 
Hata Vyama vikiwa 2000 kama Katiba yenyewe ndio hii hakuna kitakachobadilika.

Sana sana Fisi wa Katavi watazidi kunenepa tu kwa kula mizoga ya Wapinzani.
 
Sijasoma andiko lako mkuu lakini
Naipenda Nchi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…