Uchaguzi 2020 CCM itashinda 2020 kwa 99%


2020 NI UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA CCM TAIFA.
 
Ngoja tusubiri yajayo maana hata Mimi nimepanga kupiga kura

Hujazuiwa kwenda kupiga kura kuchagua mwenyekiti wa chama chako. 2020 UTAKUWA UCHAGUZI WA NDANI. USISAHAU KUVAA UNIFORM NA KUBEBA KADI YAKO YA UANACHAMA WA CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…