Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Sisi wa huku pembeni kazi yetu ni kutoa ushauri tu
Wenzako wanachowaza ni madaraka tu,wakajilipe mishahara minono,wengine ni wanufaika wa kupita kwenye majimbo yao pasipo kuwepo wagombea wenye nguvu kama ChademaView attachment 3327571
Kama msimamo utaendelea kuwa huu huu kwamba Uchaguzi utaendelea kama kawaida,hapana shaka Chama changu Ccm kitashika hatamu za Uongozi na kushika dola kwa miaka mingine mitano
Sina shaka kabisa kwamba pamoja na No Election No Reforms kampeni, bado hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi usifanyike
Sawa uchaguzi utafanyika na Ccm itashinda,je hii Serikali itakuwa na taswira gani kimataifa?
Je ndio wakati umefika sasa nasi Tanzania tuonekane tunanyima uwepo wa demokrasia hapa nchini katika jumuiya za kimataifa?
Hapa uchaguzi bado lakini tayar kelele zimekuwa nyingi sana, vipi ukifanyika uchaguzi?
Nafahamu kabisa Chama changu pendwa mna hazina kubwa ya viongozi wenye maono na uelewa mkubwa,kwani miongoni mwa Vyama vikongwe kabisa barani Afrika Ccm nayo ipo
Sisi sio wakufundishwa siasa,kwasababu sisi ndio tulifundisha siasa na kusapoti harakati nyingi za nchi za Afrika kuweza kujitawala
Je, leo iweje kaka mkubwa awekwe chini tena kuambiwa hapa umekosea haikutakiwa iwe hivyo,hapana hatuja fikia bado,bado tuna mda wa kuweka mambo sawa
Wakati mwingine kukubali kufanya mabadiliko sio udhaifu na wala sio shinikizo bali ni kuonyesha ukomavu na ndio kukua
Tusikurupuke kufanya uchaguzi katika namna ambayo itaonekana hakuna ushindani wa kweli,maana hata ushindi wetu hautakuwa uhalali kwa asilimia mia moja
Ni bora tukachelewesha Uchaguzi lakini uwe ni wenye ushindani na ambao hata tukishinda basi hakutakuwa na kuonyeshana vidole
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Ni hayo tu!
Aliyekwambia wanataka heshima ni nani muhimu ni ushindi tu basiView attachment 3327571
Kama msimamo utaendelea kuwa huu huu kwamba Uchaguzi utaendelea kama kawaida,hapana shaka Chama changu Ccm kitashika hatamu za Uongozi na kushika dola kwa miaka mingine mitano
Sina shaka kabisa kwamba pamoja na No Election No Reforms kampeni, bado hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi usifanyike
Sawa uchaguzi utafanyika na Ccm itashinda,je hii Serikali itakuwa na taswira gani kimataifa?
Je ndio wakati umefika sasa nasi Tanzania tuonekane tunanyima uwepo wa demokrasia hapa nchini katika jumuiya za kimataifa?
Hapa uchaguzi bado lakini tayar kelele zimekuwa nyingi sana, vipi ukifanyika uchaguzi?
Nafahamu kabisa Chama changu pendwa mna hazina kubwa ya viongozi wenye maono na uelewa mkubwa,kwani miongoni mwa Vyama vikongwe kabisa barani Afrika Ccm nayo ipo
Sisi sio wakufundishwa siasa,kwasababu sisi ndio tulifundisha siasa na kusapoti harakati nyingi za nchi za Afrika kuweza kujitawala
Je, leo iweje kaka mkubwa awekwe chini tena kuambiwa hapa umekosea haikutakiwa iwe hivyo,hapana hatuja fikia bado,bado tuna mda wa kuweka mambo sawa
Wakati mwingine kukubali kufanya mabadiliko sio udhaifu na wala sio shinikizo bali ni kuonyesha ukomavu na ndio kukua
Tusikurupuke kufanya uchaguzi katika namna ambayo itaonekana hakuna ushindani wa kweli,maana hata ushindi wetu hautakuwa na uhalali kwa asilimia mia moja
Ni bora tukachelewesha Uchaguzi lakini uwe ni wenye ushindani na ambao hata tukishinda basi hakutakuwa na kuonyeshana vidole
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Ni hayo tu!
Hapo wanafeli sana,mwisho wa siku poteza vyote lakini sio heshima yakoWenzako wanachowaza ni madaraka tu,wakajilipe mishahara minono,wengine ni wanufaika wa kupita kwenye majimbo yao pasipo kuwepo wagombea wenye nguvu kama Chadema
Heshima ikiendana na ushindi inakuwa bora zaidiAliyekwambia wanataka heshima ni nani muhimu ni ushindi tu basi
Anyway siwezi kuwasema wao,ila huu sasa ndio uko katika mazingira ambayo dunia nzima inajuwa kumbe Tanzania hakuna Mlima kilimanjaro na mbuga za wanyama pekee bali kuna siasa za sintofahamuUshindi wa heshima ukoje? 2024, 2020, 2019, 2015.. upi kati ya hiyo miaka ulikuwa wa heshima?
This is too much 😂😂Heshima?
Kwenye siasa? You can't be serious!
Hebu tuwache bana. Ni mama tu mpaka 2035 labda..... Hata sisi walevi tunamkubali sana!
View attachment 3327592
Usiwadanganye ccm, uwezo wa wao kushinda kihalali watakavyo kwenye chaguzi haupo. Na sio tu kwamba haupo, ila hautakaa uwepo. Namna pekee ni kulazimisha kubaki na sheria zinazowabeba. Uzuri ni kuwa wapinzani wakweli wameshaamua hawatashiriki tena kupitia mifumo hii ya kihuni.View attachment 3327571
Kama msimamo utaendelea kuwa huu huu kwamba Uchaguzi utaendelea kama kawaida,hapana shaka Chama changu Ccm kitashika hatamu za Uongozi na kushika dola kwa miaka mingine mitano
Sina shaka kabisa kwamba pamoja na No Election No Reforms kampeni, bado hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi usifanyike
Sawa uchaguzi utafanyika na Ccm itashinda,je hii Serikali itakuwa na taswira gani kimataifa?
Je ndio wakati umefika sasa nasi Tanzania tuonekane tunanyima uwepo wa demokrasia hapa nchini katika jumuiya za kimataifa?
Hapa uchaguzi bado lakini tayar kelele zimekuwa nyingi sana, vipi ukifanyika uchaguzi?
Nafahamu kabisa Chama changu pendwa mna hazina kubwa ya viongozi wenye maono na uelewa mkubwa,kwani miongoni mwa Vyama vikongwe kabisa barani Afrika Ccm nayo ipo
Sisi sio wakufundishwa siasa,kwasababu sisi ndio tulifundisha siasa na kusapoti harakati nyingi za nchi za Afrika kuweza kujitawala
Je, leo iweje kaka mkubwa awekwe chini tena kuambiwa hapa umekosea haikutakiwa iwe hivyo,hapana hatuja fikia bado,bado tuna mda wa kuweka mambo sawa
Wakati mwingine kukubali kufanya mabadiliko sio udhaifu na wala sio shinikizo bali ni kuonyesha ukomavu na ndio kukua
Tusikurupuke kufanya uchaguzi katika namna ambayo itaonekana hakuna ushindani wa kweli,maana hata ushindi wetu hautakuwa na uhalali kwa asilimia mia moja
Ni bora tukachelewesha Uchaguzi lakini uwe ni wenye ushindani na ambao hata tukishinda basi hakutakuwa na kuonyeshana vidole
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Ni hayo tu!
AqAqAqaaaaaqaaaàqààMitano tena kwa askofu Gwa.....
Na bahati nzuri Lissu alikuwa yupo radhi kwa jambo hilo,wapo radhi mama Samia abakie extra time miaka mitatu,naona faida ni kwa CcmHivi ikiongezwa miaka 3 ya Samia turekebishe mambo ya kiuchaguzi nani mwenye hasara CCM au CHADEMA. Ndugu zangu tunaogopa nini? Mwana CCM kindakindaki.
Hakuna uchaguzi, na ukifanyika ni batili, na watakao patikana ni batili, sasa ni kuchagua kunyoa au baki na nywele no reforms no electionsView attachment 3327571