johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Itachokwa na nani wakati asilimia 98% ya Watanzania na wewe ukiwa kiongozi wao ni WAJINGA na makondoo.Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana
Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na anesema " chonde chonde Komredi sambaza ujumbe kwa Wananchi wote Wenye mapenzi mema na CCM"
Sasa Ndio naelekea kujiandikisha na nawaomba wanaccm wote wa JF mkajiandikishe akina Mzee Mgaya, chiembe, @Choicevariable,@ Lucas, @Jingalao,@ Pascal Mayalla, @Tindo,@ Retired @Erythrocytes nk...nk
Mungu wa mbinguni awabariki 😀
Hata sasa imechokwa sana ila inaendelea kubaki madarakani kwa mbeleko ya vyombo vyote vya dola.Ukiwepo uchaguzi huru na wa haki kabisa CCM hii saa nne asubuhi tu chali.Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana
Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na anesema " chonde chonde Komredi sambaza ujumbe kwa Wananchi wote Wenye mapenzi mema na CCM"
Sasa Ndio naelekea kujiandikisha na nawaomba wanaccm wote wa JF mkajiandikishe akina Mzee Mgaya, chiembe, @Choicevariable,@ Lucas, @Jingalao,@ Pascal Mayalla, @Tindo,@ Retired @Erythrocytes nk...nk
Mungu wa mbinguni awabariki 😀
Labda Kizazi cha Alpha 😂😂Itachokwa na nani wakati asilimia 98% ya Watanzania na wewe ukiwa kiongozi wao ni WAJINGA na makondoo.
Wewe una kadi ya Mpiga kura au mnapiga filimbi tu hapa Jf 😂Hata sasa imechokwa sana ila inaendelea kubaki madarakani kwa mbeleko ya vyombo vyote vya dola.Ukiwepo uchaguzi huru na wa haki kabisa CCM hii saa nne asubuhi tu chali.