johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana
Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na anesema " chonde chonde Komredi sambaza ujumbe kwa Wananchi wote Wenye mapenzi mema na CCM"
Sasa Ndio naelekea kujiandikisha na nawaomba wanaccm wote wa JF mkajiandikishe akina Mzee Mgaya, chiembe, @Choicevariable,@ Lucas, @Jingalao,@ Pascal Mayalla, @Tindo,@ Retired @Erythrocytes nk...nk
Mungu wa mbinguni awabariki 😀