johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
1980 tulipata msaada wa mahindi ya njano kutoka Brazil lakini safari hii kuna Corona!Leo umeandika sense for the whole year. Kweli ukame unatishia maisha. CCM wako kwenye urais 2025.
Udigoni ngombe wameanza kufa kwa ukame (nasikia), kama ni kweli tunakwenda kubaya. Tanga Mjini na maeneo yanayozunguka mji huu, ukame unatishia kila kitu. Ngombe wako at a blink of starvation kama mvua hazitanyesha.
Sure tuliyala sana! Nilikuwa nasoma shule nakumbuka sana. Nadhani na wewe kama ulikuwa kijana enzi hizo utakuwa uliula sana huo ugali wa njano! Corona imepungua utakuja tu!1980 tulipata msaada wa mahindi ya njano kutoka Brazil lakini safari hii kuna Corona!
Bwashee bila mvua hakuna ulanzi!Mzee mgaya leo ameandika kabla hajapata Ulanzi wa igowole
ukifanya kazi nzuri inasifiwa. Leo Mgaya kaandika sense.. na huyo kapongezaBwashee bila mvua hakuna ulanzi!
Bwashee bila mvua hakuna ulanzi!
ukifanya kazi nzuri inasifiwa. Leo Mgaya kaandika sense.. na huyo kapongeza
Sasa CCM ndio wameleta ukame? Swala hili limeletwa na wazungu huko sisi ni wahanga ,Rais alipozungumzia kule UNGA kuna watu mlimbeza sasa hivi mnasema CCM CCM.Leo umeandika sense for the whole year. Kweli ukame unatishia maisha. CCM wako kwenye urais 2025.
Udigoni ngombe wameanza kufa kwa ukame (nasikia), kama ni kweli tunakwenda kubaya. Tanga Mjini na maeneo yanayozunguka mji huu, ukame unatishia kila kitu. Ngombe wako at a blink of starvation kama mvua hazitanyesha.
Bodi ya nafaka ndio yenye kufanya biashara NRFA wananunua kwa ajili ya hifadhi ya chakulaLeo Mzee kaandika kwa sababu serikali inanunua mahindi ikilenga kufanya biashara na WFP hasa kupeleka South Sudan , Somalia, na nchi nyingine zenye baa la njaa tayari, hasa wasinogewe na dollari za UN wakauza yote wakasahau hali itakua tete na dalili zinajionesha wazi kwa mfano mkoa wa kagera kiasi cha mvua kimepungua sana miezi hii tofauti na miaka ya nyuma
Bwashee Wafanya maamuzi wa serikali ndio hao makada wa CCM!Ushauri mzuri hata Chief Hangaya aliligusia Kwenye hotuba yake kule UNGA.
Ila sasa Mzee sijaelewa linakuaje ni iwe ajenda ya ccm badala ya kuwa ajenda ya Nchi na Serikali?.
Kuna ukame unanyemelea mwaka huu Kwa mujibu wa TMA na mafuriko kama huko Sudan.
Tuanze kuchukua hili kama ajenda mtambuka,swala la ukimwi sasa like pembeni lije la utunzaji mazingira.
Kila miaka 5 kunakuwa na mabadiliko fulani ila msijali siku mkija kusikia Nyanda za Juu Kusini hakuna mvua basi hameni nchi mtakufa wote but so long as huku mvua ipo na ndiko kwa wazalishaji wakuu tutawalisha.Kuna nini najiuliza?
Kipindi cha kikwete hali ya ukame ilikuwepo sehemu nyingi Nchini
Kipindi cha JPM mvua nyingi sana hadi mafuriko.
Kipindi cha SSHasani naona hali ya ukame na chakula kupanda bei kimeanza tena..
Kuna nini?
Uyo ni mwezi mchanga,Leo umeandika sense for the whole year. Kweli ukame unatishia maisha. CCM wako kwenye urais 2025.
Udigoni ngombe wameanza kufa kwa ukame (nasikia), kama ni kweli tunakwenda kubaya. Tanga Mjini na maeneo yanayozunguka mji huu, ukame unatishia kila kitu. Ngombe wako at a blink of starvation kama mvua hazitanyesha.
Hahahaaaa....... Wewe ni bamvua!Uyo ni mwezi mchanga,
Ha ha ha haaaaah!Hahahaaaa....... Wewe ni bamvua!