CCM izisikie sauti hizi za ukombozi

CCM izisikie sauti hizi za ukombozi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hali si hali. Sauti za kudai haki na usawa hizi siyo za kupuuza tena:



Kwa hakika tumedhamiria mno.

"Hamna uchaguzi mkuu bila tume huru." Ikawaingie vyema akilini.

Ipo tofauti kubwa baina ya kutoshiriki uchaguzi na uchaguzi kutokuwapo.

Busara na ikawaingie ma CCM wahafidhina hawa kabla hawajachelewa mno.
 
Back
Top Bottom