Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa.
Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya
Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia mpinzani wake wa jadi kwenye uchaguzi mkuu.. Raira Ondinga ..kweli yàani Raila kumkampenia Ondinga ?
Sasa kama huamini Kenya ndiyo nchi inayokwenda kwenye ustaarabu wa kidunia huku sisi tukipeana kesi za UGAIDI.
Hivi sisi tunakwama wapi ??