LGE2024 CCM: Jimbo la Hai, hali ya vituo vya kuandikisha wapiga kura ni ya kutatanisha, hasa kutokana na ukosefu wa mawakala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sio Neema za Mungu, sema fadhila za shetani na njama za shetani huivusha ccm
 
Mkuu mawakala utawaona siku muhimu ya zoezi la upigaji kura!
 
Ahahahaha ma ccm yakisikia ivyo yanatamani yanye hadharan
 
Sio Neema za Mungu, sema fadhila za shetani na njama za shetani huivusha ccm
watu hawana mawakala na hawalalamiki huoni hizo no baraka za kipekee sana gentleman?

umewaskia hao vitimbakwiri wa vyama vya upinzani ikiwa kituo cha kupigia kura hakuna wakala wao wanavyo bweka bweka na mapepo ya kelele?🤣
 
NAmchukia mwanasiasa hasa mwizi
 
NAmchukia mwanasiasa hasa mwizi
muhalifu yeyote tu iwe mwizi au kaidi, they are belong to jail ni wavivu hao wasiyopendeka..

lakini pia wanaojiandaa kuibiwa unawaelewa kweli? Maana awazalo mjinga ndicho kitakacho mtokea 🐒
 
Sio lazima mawakala wawepo
Sehemu nyingi tu hata Dar vituo vingi tu hamna mawakala
Mawakala watakuwepo kwani kuna uchaguzi au uhuni. Wakala awepo wakati wanakuja kujiandikia watu 8 kwa siku?
 
Nataka nimwambie Saashisha Mafue uwezekano wa wewe kurudi buneni Kwa goli la mkono ni mdogo sana,so tumia akili yako vizuri na ujue linalokupasa,, shetani anakuyamani wewe simama JIPANGE sawasawa
 
Sio maigizo haya😂
 
haina shida ushindi upo pale pale unadhan kuna mtumishi wa uma atafanya ujinga apoteze ugali wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…