KERO CCM juu? Wananchi wa Morogoro mto Lukosi, tunaishi kama Makomandoo baada ya miaka 60 ya Uhuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Hapa ni Morogoro mto Lukosi Miaka yote wananchi wanatumia hicho kichuma kuvuka huo mto wanasema kuna mamba wa kutosha.

Alafu kila mwaka ukisoma Ripoti ya CAG vibaka wanakula Pesa za kutosha.

MY TAKE
Mshauri Mwenyekiti wa Kijiji asilalaimike popote kwani atatekwa. Abdul mla watu hataki wananchi kuhoji.
Your browser is not able to display this video.
 
ok.🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…