CCM kama mnataka kumfukuza Nchimbi ilo ndo litakua anguko letu bado suala la Polepole sio kwamba tumesahau

CCM kama mnataka kumfukuza Nchimbi ilo ndo litakua anguko letu bado suala la Polepole sio kwamba tumesahau

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Naona mnaangaika na Emanule Nchimbi sijui kama mmepata mafasi ya kutafakari vizuri suala la nchimbi hata tu kujiuzuru tu litazidi kuleta mpasuko mkubwa ndani ya Chama cha Mpinduzi. Wana ccm bado suala la Polepole sio kwamba limeisha hapana bado watu wanapima upepo suala la Makamu wa rais Mpango kujiuzuru pia watu wengi tunajua lilikua sio suala la kawaida bado Kasimu bado Gwajima tunajua kilichotokea kwa Ndugai sasa kama mnataka Emanuel ajiuzuru mnazidi kutengeneza mpasuko mkubwa hapa sijazungumzia suala la Lissu . CCM tujifunze kuvumilia mambo tusioyapenda kama kosa la Emanueli kudai katiba mpya ilo sio tatizo ilo ndo hitaji la wananchi kwa sasa katiba mpya na Tume huru. Mimi nilijua suala la October 29 limetufungua akili na macho kujua kwamba watanzania sio wajinga kama mlivyokua mnadhania wanatambua HAKI zao za msingi. Sasa Nchimbi kutwambia tupiganie katiba mpya sio kosa ila anataka kuepusha yale yaliyotokea October 29 sasa kosa lake ni lipi?
 
Wewe itakuwa ni kijana mdogo, CCM waliwahi kutaka kumzunguka Mwl JK Nyerere kwenye maamuzi sembuse hizi sarakasi

Unamfahamu Lyatonga Mrema? Juzi juzi hapa Edward Lowassa, Mwenyezi Mungu awape pumziko lililo jema

Hakuna kitu kama hicho
 
Wewe itakuwa ni kijana mdogo, CCM waliwahi kutaka kumzunguka Mwl JK Nyerere kwenye maamuzi sembuse hizi sarakasi

Unamfahamu Lyatonga Mrema? Juzi juzi hapa Edward Lowassa, Mwenyezi Mungu awape pumziko lililo jema

Hakuna kitu kama hicho

Mda na wakati ni tofauti jifunze kutofautisha nyakati
 
Kuna kauli alisema lisu jana kwamba kama katiba na masuala ya uchaguzi hayatarekebishwa kuna maafa makubwa yatakuja kutokea kwenye chaguzi za nchi zetu ukiachilia mbali haya ambayo yamekwisha tokea. Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwenye haya matatizo watazamwe wananchi na sio chadema kuna siku hata hao chadema watakaa pembeni.
 
Kama nchimbi na ubabe wake ametolewa nje ya mfumo je lissa awezi toka gelezani
 
Back
Top Bottom