Wewe itakuwa ni kijana mdogo, CCM waliwahi kutaka kumzunguka Mwl JK Nyerere kwenye maamuzi sembuse hizi sarakasi
Unamfahamu Lyatonga Mrema? Juzi juzi hapa Edward Lowassa, Mwenyezi Mungu awape pumziko lililo jema
Hakuna kitu kama hicho
Kweli Lissu sion akitoboa hyo kesiKama nchimbi na ubabe wake ametolewa nje ya mfumo je lissa awezi toka gelezani