William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
- #201
Wakuu; Nimeongea kwa simu na Oscar, alikuwa njiani kuelekea Bihalamulo na nimemuuliza juu ya tuhuma hizo hapo juu zilizotolewa na Masanilo. Kwa kweli amesikitika sana na amekanusha vikali kuwa hausiki na tuhuma hizo.
Sasa kama Masanilo ana data basi azilete hapa kuliko kutoa tuhuma ambazo hazina ukweli wowote.
- Ndio uzuri wa JF siku zote tunaweza kuwafikia na kupata dataz kutoka kwenye mdomo wa farasi mwenyewe, ahsante sana mkuu!
- Sasa tusubiri dataz za upande wa pili, binafsi so far ninaridhishwa sana na CV ya huyu Mukasa kwamba anaweza kua kichwa na kufanya tofauti huko Biharamulo.
Respect.
FMes!