William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #201
Wakuu; Nimeongea kwa simu na Oscar, alikuwa njiani kuelekea Bihalamulo na nimemuuliza juu ya tuhuma hizo hapo juu zilizotolewa na Masanilo. Kwa kweli amesikitika sana na amekanusha vikali kuwa hausiki na tuhuma hizo.
Sasa kama Masanilo ana data basi azilete hapa kuliko kutoa tuhuma ambazo hazina ukweli wowote.
- Ndio uzuri wa JF siku zote tunaweza kuwafikia na kupata dataz kutoka kwenye mdomo wa farasi mwenyewe, ahsante sana mkuu!
- Sasa tusubiri dataz za upande wa pili, binafsi so far ninaridhishwa sana na CV ya huyu Mukasa kwamba anaweza kua kichwa na kufanya tofauti huko Biharamulo.
Respect.
FMes!
..nilikuwa nimeingia katikati ya thread nikafikiri Oscar Mukasa ni mgombea wa Chadema.
..i met this guy thr' some friends. kwa kweli sikutegemea kama anaweza kujiunga na CCM iliyochafuka na inayonuka kiasi hiki.
..but as they say, ppl change...or maybe he knows what he is doing.
..lakini kwa kweli najiuliza tena na tena: anatafuta nini ndani ya CCM huyu?

Brutus said:Kwani kuna tatizo gani kuwa mgombea wa nafasi yoyote kupitia CCM?
Si kila mwanachama, shabiki au kiongozi wa CCM ni corrupt/fisadi!
Afterall,The guy sounds smart. Amekubaliana na sera za CCM, na ameona akiongeza nguvukazi na utaalamu wake ataleta mabadiliko jimboni kwake. Let us be fair and balance. Tusibiri matokeo ya utendaji wake iwapo atachaguliwa then tumuweke kwenye mizani!
Tusiyeyushane, kama yuko Chuo Cha Mafisadi mambo ni yale yale tu.
Kwani kuna tatizo gani kuwa mgombea wa nafasi yoyote kupitia CCM?
Si kila mwanachama, shabiki au kiongozi wa CCM ni corrupt/fisadi!
Afterall,The guy sounds smart. Amekubaliana na sera za CCM, na ameona akiongeza nguvukazi na utaalamu wake ataleta mabadiliko jimboni kwake. Let us be fair and balance. Tusibiri matokeo ya utendaji wake iwapo atachaguliwa then tumuweke kwenye mizani!
Kama CCM imechafuka basi huu ndio wakati mwafaka wa mapambano.Mwenzetu kaamua kuingia kwenye inner-core ya struggle. There is nothing bad about it. Hakuna cha kushangaa hapo, ndio demokrasia!
Mukasa ingawaje mwanzoni tuliambiwa na washikaji wake kuwa anaitwa Oscar Mukasa na sasa ni Oscar Rwegasira. Je kuna kitu kinafichwa ?
Wana CCM ni birds of a feather.......
Wakuu; Nimeongea kwa simu na Oscar, alikuwa njiani kuelekea Bihalamulo na nimemuuliza juu ya tuhuma hizo hapo juu zilizotolewa na Masanilo. Kwa kweli amesikitika sana na amekanusha vikali kuwa hausiki na tuhuma hizo.
Sasa kama Masanilo ana data basi azilete hapa kuliko kutoa tuhuma ambazo hazina ukweli wowote.
Hebu nitajie ni nani ndani ya CCM amethubutu kuhoji status quo? Ukishaingia huko ama unyamaze, kubali kufuata mkumbo, au kuwa sidelined. Waulize wote wanaohoji mambo ya ufisadi kama hali yao ndani ya CCM ni mswano. CCM ina wenyewe!Kama CCM imechafuka basi huu ndio wakati mwafaka wa mapambano.Mwenzetu kaamua kuingia kwenye inner-core ya struggle. There is nothing bad about it. Hakuna cha kushangaa hapo, ndio demokrasia!
Nilisema toka jana sina sababu ya kuweka personal za Oscar hapa hutaki kuelewa sio! Ninamfahamu huyu jamaa kuliko wewe najua mchakato mzima hadi kupita, alipigwa zengwe sana hadi JK alipoamua kufanya naye mazungumzo na kushawishi kikao. Siwezi andika uzaifu wake hapa narudia, kama binadamu anamapungufu kama niliyo nayo mimi....! Nimeongea naye pia na ninamtakia kila laheri kwenye uchaguzi huo ambao najua atashinda nitakuwa na baada ya uchaguzi nitakuwa na mazungumzo naye ili asije potelea kwenye dibwi la mafisadi na wazee walio CCM waliochoka kimawazo. Acha kuongea naye amekuwa akipata support yangu tokea mwanzo kuna vitu tuna tofautiana lakini mtizamo tu, si lazima niwe sahihi
Kayanga twende
Mas
Tusisahau jambo moja, Rwegasira anajaza tu nafasi iliyoachwa wazi kutokana na kifo - kwa hiyo namba ya wabunge wa CCM inabaki pale pale. Sasa kama tegemeo la mabadiliko ndani ya CCM yako kwa huyu kijana peke yake - kazi ipo. Lakini mimi bado naamini ni rahisi yeye kubadilishwa na CCM kuliko yeye kuibadilisha CCM. Kama alivyowahi kuuliza Baba wa Taifa kuhusu kukimbilia ikulu na mimi nauliza kwa hali ya CCM ilivyo hivi sasa - kwa nini Rwegasira, kama kijana makini, anakimbilia CCM, kuna biashara gani huko ?
Pili naona kuna tabia inaanza kujengeka humu ambayo inapingana na msimamo wa JF ya kumkoma nyani bila kumwangalia sura. Tunaanza kuruhusu utetezi kwa hoja za nguvu pale mhusika anapotokea kuwa ndugu, jirani, rafiki au mshikaji. Hata hivyo nauliza kitu kimoja, inaonekana kuna jitihada za kulizika jina Mukasa ingawaje mwanzoni tuliambiwa na washikaji wake kuwa anaitwa Oscar Mukasa na sasa ni Oscar Rwegasira. Je kuna kitu kinafichwa ?
Wana CCM ni birds of a feather.......
Hebu nitajie ni nani ndani ya CCM amethubutu kuhoji status quo? Ukishaingia huko ama unyamaze, kubali kufuata mkumbo, au kuwa sidelined. Waulize wote wanaohoji mambo ya ufisadi kama hali yao ndani ya CCM ni mswano. CCM ina wenyewe!