KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
Hii ndiyo hali halisi ndani ya CCM inayoonyesha hawana jipya halafu hiyo picha hapo juu mpiganaji dhdi ya mafisadi Mama Kilango alikubali fisadi Lowassa naye awe mualikwa? au tinga lilitia kifua? Hakuna jipya kwenye hivi vikao ni USANII MTUPU!!!.[/B]
kama anna kilango yuko serious na ufisadi basi aanze na mumewe ambaye amekula pesa za konoike kuliko nalaila kiula. sherehe imejaa mafisadi watupu kuanzia mwinyi,na msuya.
wakati makamba anaweka mbele maslahi yake binafsi na ya wanae. Ni ukweli usiopingika kwamba Makamba amekuwa akiongoza foleni ya kuomba msaada kwa Manji na hata kwa watuhumiwa wengine wa ufisadi, Samahani kwa kusema hayo lakini Makamba ni mmoja kati ya viongozi cheap sana.Nawasilisha
Jamani huu mjadala ni wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM, labda ifunguliwe thread ya sherehe za Malecela, lakini hapa naomba tuachieni tujadili kamati kuu please!
- according to the dataz, manji amemjengea hata nyumba anayoishi sasa!
fmes!
- According to the dataz, Manji amemjengea hata nyumba anayoishi sasa!
FMES!
Ni kweli kabisa, Mkuu, hayo si mahala pake hapa.
Aliyetuharibia mwelekeo ni yule aliyedai kwamba vikao vilifanyika bila mwenyekiti Kikwete kwa vile eti alikuwa na udhuru wa kuhudhuria sherehe. Hivyo ndivyo sherehe ilivyochomekwa chomekwa humu.
Wengine tukasema...aaaaah...tafadhali bana, tukamwambia huyo mleta habari za vikao huyo, kwamba, Kikwete hawezi kukosa kikao cha CCM Taifa, eti ana udhuru kwenda kunywa kwa Malecela. Hakuwa na kikao muda huo.
Mengi na wapiga vita ufisadi wengine wanaweka mbele maslahi ya taifa katika hoja zao wakati makamba anaweka mbele maslahi yake binafsi na ya wanae. Ni ukweli usiopingika kwamba Makamba amekuwa akiongoza foleni ya kuomba msaada kwa Manji na hata kwa watuhumiwa wengine wa ufisadi,na ni ukweli usiopingika kwamba Makamba njaa ndiyo inayomsumbua.
Samahani kwa kusema hayo lakini Makamba ni mmoja kati ya viongozi cheap sana.
Nawasilisha
du! Hela zetu hizi wananyweani kweli kabisa, mkuu, hayo si mahala pake hapa.
Aliyetuharibia mwelekeo ni yule aliyedai kwamba vikao vilifanyika bila mwenyekiti kikwete kwa vile eti alikuwa na udhuru wa kuhudhuria sherehe. Hivyo ndivyo sherehe ilivyochomekwa chomekwa humu.
Wengine tukasema...aaaaah...tafadhali bana, tukamwambia huyo mleta habari za vikao huyo, kwamba, kikwete hawezi kukosa kikao cha ccm taifa, eti ana udhuru kwenda kunywa kwa malecela. Hakuwa na kikao muda huo.
du! Hela zetu hizi wananywea
Kumradhi nilimaanisha si USD bali TSHS.- Ni kweli kabisa zilikuwa ni hela za mchango wa ndugu wote wa Malecela, lakini hazikuwa hela zako kama unavyodai au zenu hapana huo ni upotofu wa ukweli.
Ahsante.
William.
- Ni kweli kabisa zilikuwa ni hela za mchango wa ndugu wote wa Malecela, lakini hazikuwa hela zako kama unavyodai au zenu hapana huo ni upotofu wa ukweli.
Ahsante.
William.
Kumradhi nilimaanisha si USD bali TSHS.
Mkuu William umeamua kutoa suluhu mapeema, sio zake ni za family...lol
- Wote tumeenda shule na kila mmoja wetu ana maisha yake tena very serious, kwa hiyo we are fine mkuu na tunamshukuru Mungu.[/B][/U]
Mungu uliye juu tunakuomba utulinde watanzania na hili genge la mafisadi linakutana hatujui, ww ndo unajua wanachopanga......amin
- More datazz za CC, jana usiku na leo asubuhi:-
2. Kamati kuu imempa Mzee Malecela mamlaka ya kusimamia uchaguzi huo, akishirikiana na Mkuchika.
FMES
Hakuna chochote kinachopangwa na hawa chenye maslahi ya nchi, bali maslahi yao tu. Ni USANII MTUPU!!!!! Tusitegemee jipya lolote la kushtua nyoyo za Watanzania.