William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #101
Ina maana Mzee amekabidhiwa tena lile jukumu lake la U-TINGATINGA alilokuwa akilalama wakati akipigwa chini wakati wa uchaguzi wa mgomea wa CCM 2005?
omarilyas
- Maneno yamepitwa na wakati haya mkuu, vipi hakuna mapya? Mbona ndugu yetu Beno mgombea wa mafisadi alipigwa chini uenyekiti wa UV-CCM kwani amekufa?
- Ungeanza kuongelea utinga tinga wa Beno kwanza mkuu, au? Bwa! ha! ha!
FMES
Mungu uliye juu tunakuomba utulinde watanzania na hili genge la mafisadi linakutana hatujui, ww ndo unajua wanachopanga......amin
Mnasemaga NATIN' PERSONAL kaka....sikujua kuwa mambo kama yale huwa yanaishaga....
Beno bado mchanga hajakomaa kukabidhiwa majukumu muhimu kama hayo
omarilyas
ES,
nini matunda ya hivi vikao (vikao vizito kama ilivyoelezwa hapo awali) kwa mtu wa kawaida kama mimi ? maana kuna kila dalili kwamba hakuna lolote linalozunguzwa humo kumhusu mtanzania wa kawaida, sasa naweza nikawa nimekosea hivyo basi kama lolote linalomgusa mtanzania ambalo huongelewa naomba utupashe la sivyo basi hivyo vikao WIZI MTUPU!
Kikao hicho kimeiamuru kamati ya Sekretariat, kukutana tena tarehe 29, mwezi huu kurudia tena ishus mbali mbali ilizozifikisha kwenye kikao hicho, kabla ya kuzirudisha tena kwao CC.
Katibu Mkuu wa CCM ambaye atakuwa Mwenyekiti.
Manaibu Katibu Mkuu wa CCM.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Organaizesheni.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Uchumi na Fedha.
Makatibu Wakuu wa Jumuiya za Wananchi zinazoongozwa na CCM.
- According to the dataz, Manji amemjengea hata nyumba anayoishi sasa!
FMES!
ES,
nini matunda ya hivi vikao (vikao vizito kama ilivyoelezwa hapo awali) kwa mtu wa kawaida kama mimi ? maana kuna kila dalili kwamba hakuna lolote linalozunguzwa humo kumhusu mtanzania wa kawaida, sasa naweza nikawa nimekosea hivyo basi kama lolote linalomgusa mtanzania ambalo huongelewa naomba utupashe la sivyo basi hivyo vikao WIZI MTUPU!
KM, siku hizi unanifurahisha kweli na michango yako hapa jamvini. Unasema kweli tupu fitina kwako mwiko. Nilishasema hapa hii CCM ya sasa ni chama cha mafisadi ambacho kimeweka mbele maslahi ya mafisadi badala ya Watanzania. Hivi vikao ambavyo miaka ya nyuma vilikuwa na umuhimu mkubwa na vilifanya maamuzi mazito yaliyohusu CCM na hata Taifa sasa hivi kumejaa USANII MTUPU kama ilivyomshinda kuiongoza nchi Kikwete pia anakiangamiza chama na kama hawakumshtukia mapema basi ataiacha CCM katika hali mbaya sana na iliyojaa makundi yenye chuki kubwa kati yao. Tusiendelee kupoteza muda kutaka kujua ni kipi kilichojadiliwa huko maana ni USANII NA WIZI MTUPU!!! halafu ukiuliza vikao hivyo vilivyoanza tangu wiki iliyopita vimegharimu kiasi gani basi utasikia mabilioni yameanguka!!!! Maskini nchi yetu ya Tanzania! 🙁
- Mkuu mimi sihudhurii hivi vikao, wala kupanga agenda za vikao hivi ila ninaleta dataz tu.
- However, kwa ufahamu wangu politically ni kazi ya bunge letu tukufu la jamhuri kusimamia masilahi ya mwananchi na taifa kwa ujumla, vikao vya vyama vya siasa mara nyingi hujali mienendo yake na namna ya kushinda uchaguzi tu, bunge ndilo linalotakiwa kuwathibiti chama tawala kinapokuwa nje ya sheria, so far hii kwetu ni ndoto!
Respect.
FMES!
[SIZE="4 kwa ufahamu wangu politically ni kazi ya bunge letu tukufu la jamhuri kusimamia masilahi ya mwananchi na taifa kwa ujumla, vikao vya vyama vya siasa mara nyingi hujali mienendo yake na namna ya kushinda uchaguzi tu, bunge ndilo linalotakiwa kuwathibiti chama tawala kinapokuwa nje ya sheria, so far hii kwetu ni ndoto!
Respect.
FMES!
[/SIZE]
Kama ni kazi ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kuleta maendeleo kwa taifa hili kama ulivyosema, then kuna haja gani ya kuhitaji hivi vyama vya siasa ?Kwa nini BUNGE lisivifute KABISA hivi vyama kwa sababu vinatafuna pesa za ruzuku za walipa kodi iwapo kazi yao ni KUSHINDA TU UCHAGUZI na sio KUPANGA MIKAKATI YA KUWASAIDIA HAO WANAOTOA PESA KUVIENDESHA HIVYO VYAMA ( AMBAO NI SISI WANANCHI ?)?? Kwa hiyo kazi ya vyama vya siasa ni kujali ni jinsi gani watashinda uchaguzi tu ? Thats a typical ccm mind that has spoken na ipo siku nakuhakikishia maneno uliyosema leo yatakuja kuropokwa na kiongozi wa ccm na hapo ndipo watu watakapostuka!
LETS WAIT!!
Neways, tuendeleeni na mada!
Kama ni kazi ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kuleta maendeleo kwa taifa hili kama ulivyosema, then kuna haja gani ya kuhitaji hivi vyama vya siasa ?Kwa nini BUNGE lisivifute KABISA hivi vyama kwa sababu vinatafuna pesa za ruzuku za walipa kodi iwapo kazi yao ni KUSHINDA TU UCHAGUZI na sio KUPANGA MIKAKATI YA KUWASAIDIA HAO WANAOTOA PESA KUVIENDESHA HIVYO VYAMA ( AMBAO NI SISI WANANCHI ?)?? Kwa hiyo kazi ya vyama vya siasa ni kujali ni jinsi gani watashinda uchaguzi tu ? Thats a typical ccm mind that has spoken na ipo siku nakuhakikishia maneno uliyosema leo yatakuja kuropokwa na kiongozi wa ccm na hapo ndipo watu watakapostuka!
LETS WAIT!!
Neways, tuendeleeni na mada!
Kwanza nakupongeza kwa kuwa muwazi kiasi hiki. Kwa wale wanaoshindwa kukubali ukweli huo ndio ukweli kuhusu dhana ya CCM kama chama. Ni kweli kabisa kuwa tangia wazee wetu kuamua kuanzisha kitu kinachoitwa CCM hata enzi zile za chama kushika hatamu huo ndio umekuwa mtizamo wa wana-CCM. Mwanzoni ilikuwa ni dhana ya wengi waliokuwa hawana nguvu kisiasa kukabiliana na Mwalimu aliyekuwa akiendelea na dhana ya TANU ndani ya chama kipya CCM. Lakini sasa huu ni mtazamo rasmi unaukubalika na wengi na ambao ulibarikiwa mbele ya hadhara ya watanzania na Mwenyekiti wake katika mkutano wake mkuu wa mwisho alipotamka bayana kuwa " Chama Cha Mapinduzi ni electoral machine".
Inashangaza kuwa bado kuna watu wanaendelea kukinasabisha chama cha CCM na TANU ambacho kumuondoa mkoloni ilikuwa ni njia ya kufanikisha ujenzi wa taifa na maendeleo ya mtanzania kwa kuhakikisha kuwa chama kinakuwa sauti ya asiye na sauti katika kuishauri, kuelekeza na kuisimamia/kuidhibiti serikali.
Ni wazi kuwa hatua ya kukimbilia ama kulazimika kuanzisha mfumo wa siasa za ushindani wa vyama(ilipaswa kuwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi) imeathiri sana chama cha mapinduzi kiasi ya kwamba kimeshindwa kabisa kujitambua kuwa kipo kwa ajili ya kushauri, kuelekeza na kudhibiti serikali katika kuhakikisha kuwa kinalinda maslahi ya mtazania badala ya kulinda maslahi yao/yake pekee kwanza.
Si ajabu hivi sasa tunashuhudia enzi za UFISADI KUSHIKA HATAMU baada ya kuondokana na enzi za CHAMA KUSHIKA HATAMU...
omarilyas
- Mkuu Kada, hii ni bongo sio majuu na this is all we have yaani hivi vyama, na kumbuka kuwa uchaguzi ujao CCM hana mpinzani.
- Hili sio kosa langu ni la taifa zima mimi na wewe tukiwa icluded, hebu soma darasa la Mkuu Omarilyas hapo juu.
Respect
FMES
Ahsante sana Omarilyas kwa kutupatia Watanzania msemo mpya. Sasa hivi si chama tena kimeshika hatamu bali ni FISADIS WAMESHIKA HATAMU