cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
poleni sana.. karibu nina shereheHujuma zinaendelea!
Nyie mkajaza masanduku yenye kura feki.
Haya yangekua solved kma kila kituo wangeacha mawakala wa upinzani na pia wawape nakala ya matokeo.Najiuliza hii imewezekanaje?
Kuna majimbo Magufuli kapata kura 71,000 na Lissu kapata kura 3000. Sasa kama Magufuli aliwekewa kura feki, za Lissu za halali walizinyofoa kutoka kwenye mabox yale?
Kama yale yaliyo sheheni katika jimbo la Spika anayemaliza muda wake? Arusha itakuwa California? Wananchi wa Kawe watapelekwa Japan na Marekani? Kila kata itakuwa na Ambulance? Watakopeshwa pesa kwa kutumia kitambulisho cha ujasirismali tu?Watanzania kadiri muda unavyozidi kwenda ndo wanakuwa wajuzi wa Mambo hususani katika maendeleo Yao.
Wameamua kuchagua maendeleo na kuachana na propaganda.
Huwezi kuwapangia wananchi wakiamua!Huu “ulafi” na kufuru ya CCM mwaka huu umevunja record. Inapendeza sana kwa kweli kuwa na wapinzani bungeni angalau 30% ya Wabunge.
Waliwatoa mawakala wote wa vyama vya upinzani wakati wa kuhesabu kura kisha wakabandika hizo namba zao.Najiuliza hii imewezekanaje?
Kuna majimbo Magufuli kapata kura 71,000 na Lissu kapata kura 3000. Sasa kama Magufuli aliwekewa kura feki, za Lissu za halali walizinyofoa kutoka kwenye mabox yale?
Watu muda ulipokaribia kuhesabu kura waliingiza mabegi ya kura.Najiuliza hii imewezekanaje?
Kuna majimbo Magufuli kapata kura 71,000 na Lissu kapata kura 3000. Sasa kama Magufuli aliwekewa kura feki, za Lissu za halali walizinyofoa kutoka kwenye mabox yale?
Ila hata Kama CCM wamejaza Kura fake Hizi 3000 ndio halali Za CCMNajiuliza hii imewezekanaje?
Kuna majimbo Magufuli kapata kura 71,000 na Lissu kapata kura 3000. Sasa kama Magufuli aliwekewa kura feki, za Lissu za halali walizinyofoa kutoka kwenye mabox yale?
Kweli linataka hili kwa wabunge wa upinzani wanaojielewa sio wale wanaotoka bungeni kwenye kipindi muhimuHuu “ulafi” na kufuru ya CCM mwaka huu umevunja record. Inapendeza sana kwa kweli kuwa na wapinzani bungeni angalau 30% ya Wabunge.
Tulia masindano yakuingie kwanzaHujuma zinaendelea!
Uzuri ni kwamba wewe utachumia juani na kulia juani Kama mm na tofauti nyingine ni kwamba kwenye sanduku la kura wewe ulienda na fake votes mm nilienda kihalali kwa hyo kwenye msoto wewe ndio utakaeumia zaidiWatanzania kadiri muda unavyozidi kwenda ndo wanakuwa wajuzi wa Mambo hususani katika maendeleo Yao.
Wameamua kuchagua maendeleo na kuachana na propaganda.
Acha kujifariji kijana.. Hali ishakuwa mbaya maana mkishauriwaga huwa hamshauriki.Uzuri ni kwamba wewe utachumia juani na kulia juani Kama mm na tofauti nyingine ni kwamba kwenye sanduku la kura wewe ulienda na fake votes mm nilienda kialale kwa hyo kwenye msoto wewe ndio utakaeumia zaidi
Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwakushinda.
Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Moris Waziri amesema sasa wanasubiri matokeo ya kata tatu tu ambazo wanakamilisha kuhesabu.
Amesema kata ambazo wanakamilisha kuhesabu ni pamoja na Karatu mjini na muda si mrefu watakamilisha.
Waziri amesema madiwani wawili katika jimbo hilo wa CCM walipita bila kupingwa.
“Tunaendelea kuhesabu kura za ubunge yakikamilika tutatangaza matokeo,” amesema.
Kwa hiyo Tanzania ni nchi tajiri?.Hii ni tanzania
Huwezi kuifananisha na hizo nchi maskini