Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kweli japo haikuwa sahihi kwake kutumia kauli hiyo.Mwaka huu campaign za Magufuli alizifanya tofauti sana. Sehemu zote alikuwa anapita na kuzungumza kwa mamlaka kama Rais huku akisisitiza kwamba hatoleta maendeleo kama hawatochagua mbunge wa CCM
Yaani akipita sehemu anauliza mapema shida kuu ya sehemu husika ni nini (maji? Lami? Umeme? Etc) then anatumia hiyo shida “kuwatishia” wananchi.
Ukichanganya na wizi wa kura, mbinu hii somehow imefanya kazi.