Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kweli japo haikuwa sahihi kwake kutumia kauli hiyo.Mwaka huu campaign za Magufuli alizifanya tofauti sana. Sehemu zote alikuwa anapita na kuzungumza kwa mamlaka kama Rais huku akisisitiza kwamba hatoleta maendeleo kama hawatochagua mbunge wa CCM
Yaani akipita sehemu anauliza mapema shida kuu ya sehemu husika ni nini (maji? Lami? Umeme? Etc) then anatumia hiyo shida “kuwatishia” wananchi.
Ukichanganya na wizi wa kura, mbinu hii somehow imefanya kazi.
Mwisho wa ushetani wenu umekaribiapoleni sana.. karibu nina sherehe
tano tena.. rafiki yetu wa Mbeya Erythrocyte kimya sana.. hamujampa shukurani ya kuposti humu sanaaaa.. akifikiri wapiga kura wamo humu kwa asilimia kubwa...
Nawakaribisha wote mje tule tusazeeeeee..
Mwisho wa ushetani wenu umekaribia
Wakati nyie mnashabiki nyomi wenzenu walikuwa field wanasaka ushindi, maana nyomi hata Slaa alijaza mara tatu ya nyomi la LisuNyie mkajaza masanduku yenye kura feki.
Dah!!!,its not fairWakati nyie mnashabiki nyomi wenzenu walikuwa field wanasaka ushindi, maana nyomi hata Slaa alijaza mara tatu ya nyomi la Lisu
Heshimu maamuzi ya wananchiHuu “ulafi” na kufuru ya CCM mwaka huu umevunja record. Inapendeza sana kwa kweli kuwa na wapinzani bungeni angalau 30% ya Wabunge.
Sawa mkuuu. Maamuzi yameheshimiwaHeshimu maamuzi ya wananchi