Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kwa yanayoendelea nchini miaka mitatu ya serikali hii ya Chama hiki na mwenendo' na kauli za Vijana wa Chama hiki, kusema mnajali UTU ni uongo mchana kweupe. Watu waliopotezwa na kuuawa chini ya Chama hiki katika miaka 3 hii huwezi kuongelea UTU watu wakakuelewa. Hakuna mahali Chama hiki nimewahi kukemea Mauaji au UTEKAJI wa wanasiasa. Leo kuwaambia Watanzania nyie mna UTU ni kuwadhohaki. Chama chenye dhihaka Kwa watu wake ni hatari.