Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kabla na wakati wa kampeni za uraisi na wabunge kuanza, Chaka-Chua Mafuta (CCM) na mgombea wake wa urais kwa ushirikiano mkubwa na mkewe walitengeneza slogan ya kampeni ya kitanda kwa kitanda, shuka kwa shuka and so forth.
Kuna uwezekano kampeni za mwaka huu hasa zinazoendeshwa na CCM zinapingana na sera ya taifa ya kupambana na ukimwi na tutegemee maambukizi kuongezeka katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.
Wakuu tukienda kiundani zaidi utagundua hizi slogan nilizotaja zinashawishi wenye ndoa kuingia mchangani kusaka kura za CCM.......
Wewe unaionaje hii