Hivi kusema uongo ndio kujiona mjanja vitu vingine mnatakiwa mkae kimya maana ni uongo wa kupitiliza muulize TAL yaliyomkuta Dodoma anajuta kuifahamu Dodoma , hawezi kupata kura hata moja labda ajipigie akiwa Dodoma.Mwanza na Dodoma ni watoto wa shule ya msingi ndo wanakua kwenye mikutano ya ccm bora hata kuko kilimanjaro ni wachache lkn ni watu wazima
Hususan watu wanaojitambuaMoshi wako busy kutafta riziki mda wakufatilia wanasiasa utopolo hawana, halafu kule huwezi shawishi watu wapande malori ka ng'ombe wanaopelekewa mnadani wakubali, kule watu hawataki ujinga
Nategemea kuiona ccm ikiumia vilivyo uchaguzi huu wa mwaka 2020 hapo Kilimanjaro. Wameumaliza mkoa huo kiviwanda na hali imekuwa ngumu zaidi kwa wananchi. Afu leo wanajikuta wanawapenda wananchi wa Kilimanjaro, shame on themNimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa
Very trueHususan watu wanaojitambua
Dodoma ni moja ya mikoa tiifu sana kwa ccm. Ushindani wa CHADEMA wa sasa na baadaye utategemea sana mbinu zao katika kupenya ngome tiifu kwa ccm kama hizi. Kwa hapa CHADEMA ni lazima wawekeze na si vinginevyoHivi kusema uongo ndio kujiona mjanja vitu vingine mnatakiwa mkae kimya maana ni uongo wa kupitiliza muulize TAL yaliyomkuta Dodoma anajuta kuifahamu Dodoma , hawezi kupata kura hata moja labda ajipigie akiwa Dodoma.
Huko watu wanajitambua, hawatishiki na kinachoitwa maendeleo ni lazima uchague CCM.
nani kakuambia kampeni hazina hela ?Mchaga aache kutafta hela et aende kwenye kampeni
Ukipanga jambo na mtu mzima ujiandae kwa lolote. Hii ilikuwa aibu ya mwaka.
Naona hata uvivu kukujibu,fikiria mwenyewenani kakuambia kampeni hazina hela ?
Umesahau kuwa kiongozi mkuu wa mkoa ameazimwa toka upinzani?Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Tangu lini Kilimanjaro ikafananishwa na Mwanza? Inawezekana huelewi ulichoandika. Kilimanjaro ni next level ya kila kituNimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa vyovyote vile chunguza hao wanaoshangilia treni watakuwa wale wajukuu wa manamba waliopelekwa enzi za "jeremani" kuhudumia mashamba ya mkonge.Mbona treni wanaishangilia ikipita!!
Hao wanafunzi uliwaona pekeyako🤔?Mwanza na Dodoma ni watoto wa shule ya msingi ndo wanakua kwenye mikutano ya ccm bora hata kuko kilimanjaro ni wachache lkn ni watu wazima
We nae boya kweli, kwahiyo Kilimanjaro inaizidi Mwanza kitu gani🤔?Tangu lini Kilimanjaro ikafananishwa na Mwanza? Inawezekana huelewi ulichoandika. Kilimanjaro ni next level ya kila kitu
Walishurutishwa, kwamba wasipoenda watafukuzwa shule au🤔?Wasisahau mbinu ua kufunga shule msingi na kuwashurtisha walimu pamoja nawanafunzi kuhudhuria, inasaidia sana kujaza uwanja
Wanazidiwa kwa kila kitu, we boyaWe nae boya kweli, kwahiyo Kilimanjaro inaizidi Mwanza kitu gani[emoji848]?