Uchaguzi 2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

Uchaguzi 2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

Mwanza na Dodoma ni watoto wa shule ya msingi ndo wanakua kwenye mikutano ya ccm bora hata kuko kilimanjaro ni wachache lkn ni watu wazima
Hivi kusema uongo ndio kujiona mjanja vitu vingine mnatakiwa mkae kimya maana ni uongo wa kupitiliza muulize TAL yaliyomkuta Dodoma anajuta kuifahamu Dodoma , hawezi kupata kura hata moja labda ajipigie akiwa Dodoma.
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.

Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa
Nategemea kuiona ccm ikiumia vilivyo uchaguzi huu wa mwaka 2020 hapo Kilimanjaro. Wameumaliza mkoa huo kiviwanda na hali imekuwa ngumu zaidi kwa wananchi. Afu leo wanajikuta wanawapenda wananchi wa Kilimanjaro, shame on them
 
Hivi kusema uongo ndio kujiona mjanja vitu vingine mnatakiwa mkae kimya maana ni uongo wa kupitiliza muulize TAL yaliyomkuta Dodoma anajuta kuifahamu Dodoma , hawezi kupata kura hata moja labda ajipigie akiwa Dodoma.
Dodoma ni moja ya mikoa tiifu sana kwa ccm. Ushindani wa CHADEMA wa sasa na baadaye utategemea sana mbinu zao katika kupenya ngome tiifu kwa ccm kama hizi. Kwa hapa CHADEMA ni lazima wawekeze na si vinginevyo
 
Huko watu wanajitambua, hawatishiki na kinachoitwa maendeleo ni lazima uchague CCM.

Inawezekana lakini mizinga huku inapigwa na wazee wote wa Kilimanjaro, hata mababu kina Mzee Msuya wanapanda katika Stage, safari hii tunataabu kilimanjaro. Tukazane saana wazee wanapindua boti.
 
Itakuwa vizuri sana kama ccm watapoteza majimbo ya Moshi Mjini na Moshi Vijijini. Ngoja majimbo haya yaendelee kuwa na wapinzani na kushikiliwa na wapinzani mpaka pale akili itakapowakaa sawa ccm maana kwa michezo hii michafu wanastahili kuwajibishwa kweli kweli
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.

Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Umesahau kuwa kiongozi mkuu wa mkoa ameazimwa toka upinzani?
 
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.

Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Tangu lini Kilimanjaro ikafananishwa na Mwanza? Inawezekana huelewi ulichoandika. Kilimanjaro ni next level ya kila kitu
 
Mbona treni wanaishangilia ikipita!!
Kwa vyovyote vile chunguza hao wanaoshangilia treni watakuwa wale wajukuu wa manamba waliopelekwa enzi za "jeremani" kuhudumia mashamba ya mkonge.
Ukilinganisha idadi ya shule zilizoko Moshi na mikoa uliyotaja utapata jibu la bandiko lako Mkuu vitu vingine havihitaji kutumia nguvu nyingi kuviwaza au kufikiria!!! 😀 😀
 
Tangu lini Kilimanjaro ikafananishwa na Mwanza? Inawezekana huelewi ulichoandika. Kilimanjaro ni next level ya kila kitu
We nae boya kweli, kwahiyo Kilimanjaro inaizidi Mwanza kitu gani🤔?
 
Wasisahau mbinu ua kufunga shule msingi na kuwashurtisha walimu pamoja nawanafunzi kuhudhuria, inasaidia sana kujaza uwanja
Walishurutishwa, kwamba wasipoenda watafukuzwa shule au🤔?
 
Back
Top Bottom