Uchaguzi 2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

Nadhani umebakia peke yako usiyejua kuwa mikutano ya sisiem inajazwa na wanafunzi pamoja na watumishi wa umma tena kwa maagizo ya lazima, na wasiolazimishwa pia asilimia kubwa wanaenda kuwaona wasanii.
 
Dodoma wakuu wote wa idara za serikali Tanzania nzima walikuwepo Dodoma kwa lazima
Huu ni ushamba na ulimbukeni lkn kuna chizi mmoja leo kasema wanendesha kampeni kisayansi
 
Hivi kusema uongo ndio kujiona mjanja vitu vingine mnatakiwa mkae kimya maana ni uongo wa kupitiliza muulize TAL yaliyomkuta Dodoma anajuta kuifahamu Dodoma , hawezi kupata kura hata moja labda ajipigie akiwa Dodoma.
Mnajifariji kishamba sn nyie jamaa... Muache kutisha watu kishamba..... Mliwatisha watumishi wa umma wasihudhurie mkutano wa Lissu....

Unafananisha nyomi la Lissu la watu walioenda wenyewe na la magufuli ambalo mlisomba watu mikoa ya jirani?
 
Vp kwani, Singeli imebuma?
 
Nani ataacha Majukumu yake Kilimanjaro andr kuangalia wasanii wakikata viuno
 

Tatizo ni watu wachagga wanajiamini kuoka zamani wakati wengine wanaenda kwasababu ya ukabila
 
Kuna maeneo ya nji hii sio rahisi kuwasomba raia kwenye mikokoteni ya matrekta ya usafi wa jiji ili tu wakamshangae Diamond!
😅
👊 ✌✌✌💥
 
Labda huko Kilimanjaro wenye malori na mabasi wanayakatalia kwamba wako busy nayo.
 
Huko wanajielewa hela yako wanakula halafu kura wanapeleka cdm,hao ndio watu wa kaskazini yani wabajielewa kuliko maelezo.
Muulize marehemu ben pamoja na kutumia nguvu kubwa wanaccm kilimanjaro wakampa kura ndesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…