Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Duuh . . . .ngoja nipite pembeni kwanzaWe nae boya kweli, kwahiyo Kilimanjaro inaizidi Mwanza kitu gani🤔?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh . . . .ngoja nipite pembeni kwanzaWe nae boya kweli, kwahiyo Kilimanjaro inaizidi Mwanza kitu gani🤔?
Huu ni ushamba na ulimbukeni lkn kuna chizi mmoja leo kasema wanendesha kampeni kisayansiDodoma wakuu wote wa idara za serikali Tanzania nzima walikuwepo Dodoma kwa lazima
Dunia imewaona mkuu.... Labda ww tu unayeishi MarsHao wanafunzi uliwaona pekeyako🤔?
Mnajifariji kishamba sn nyie jamaa... Muache kutisha watu kishamba..... Mliwatisha watumishi wa umma wasihudhurie mkutano wa Lissu....Hivi kusema uongo ndio kujiona mjanja vitu vingine mnatakiwa mkae kimya maana ni uongo wa kupitiliza muulize TAL yaliyomkuta Dodoma anajuta kuifahamu Dodoma , hawezi kupata kura hata moja labda ajipigie akiwa Dodoma.
Sio hilo tu mkuu..... Watu wamesomba kutoka mikoa ya jirani....Du!!Basi Mwanza na Dodoma kuna shule nyingi sana .
Wa kufanya nini?Kwani kilimanjaro hakuna watoto wa shule?[emoji2960]
Vp kwani, Singeli imebuma?Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.
Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria mikutano kwa hiyari.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Huko wanajielewa hela yako wanakula halafu kura wanapeleka cdm,hao ndio watu wa kaskazini yani wabajielewa kuliko maelezo.Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio.