SAWA, KWANI HICHO KIAPO HAUKUAPA AU ULIAPA??TANU ndiyo iliyotukomboa
Kwani ni chama gani dola, ambocho miaka ya 1970s hadi 1980s kiliimbwa sana na hadi sasa uwo wimbo wakongwe wakiukumbuka wanakaa kimya na kuanza kuwaangalia wale wote wanaojichanganya kuanzisha masaccos ya mifukoni mwisho wa siku saccos zinawafia mikononina sio CCM!
Utumwa wa fikraKilitukomboa kutoka kwenye nini?
Hatukumwaga damu na hatutalajii kumwagaImetukomboa? Wapi?
CCM imezaliwa 77,CCM ile siyo ya sasa!Chama kimefubaa,kimebaki chama cha kuwanyonya wananchi!SAWA, KWANI HICHO KIAPO HAUKUAPA AU ULIAPA??
Kwani ni chama gani dola, ambocho miaka ya 1970s hadi 1980s kiliimbwa sana na hadi sasa uwo wimbo wakongwe wakiukumbuka wanakaa kimya na kuanza kuwaangalia wale wote wanaojichanganya kuanzisha masaccos ya mifukoni mwisho wa siku saccos zinawafia mikononi
Kama hukusomaga kitabu cha kidawa, huwezi jua hata nikikuelezaEee bwana wee!. Ccm ilikukomboa kutoka nini na mwaka gani? Duh!
Wapi CCM ikakusaliti?. Kwani CCM imewauza watanzania kwa wakoloni??, acheni mambo yenu ya kinyumbunyumbuMbona chenyewe kinatusaliti, kimeshalaaniwa tayari. Hakuna laana kujitenga na msaliti.
Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi.
CCM ni chama kilichotukomboa na tuliimba sana tutakilinda mpaka kufa.
Kama bado upo hai, na unakilaani hiki chama elewa laani hiyo itakutafuna hadi kaburini.
Ni hayo
Misingi, destuli na Mila ya Koo za Kifalme hubaki palepale pasipokuathili chochote, na ndiyo yenye tabia za kurithishana. Hivyo ni vigumu sana kutenganisha TANU aliyemzaa CCM. TANU + ASP=CCMCCM haijawahi kukomboa nchi kutoka kwa wakoloni zaidi TANU ambapo wahusika karibu wote wametangulia mbele za haki
CCM ilianza 1977 na kuisha hadhi yake 1992 basi baada ya hapo mila na desturi za kitanzania ndizo zimeachiwa kuongoza hatimaye bila kudhibitiwa hadi hizi changamoto zinazojitokeza kwenye jamii zinajionesha.
Kwahiyo kwako kusaliti ni kuuzwa kwa wakoloni??Wapi CCM ikakusaliti?. Kwani CCM imewauza watanzania kwa wakoloni??, acheni mambo yenu ya kinyumbunyumbu
Ulishanikiwa kuimba kale kawimbo ketu ..oooooh TANU yajenga nchi...., kama haujaimba huo wimbo ni ngumu kufahamu historia ya nchi hii. Ndiyo maana ni vigumu sana kukabidhi inchi kwa wanyang'anyi kwa njia ya karatasiCCM haijawahi kukomboa nchi kutoka kwa wakoloni zaidi TANU ambapo wahusika karibu wote wametangulia mbele za haki
CCM ilianza 1977 na kuisha hadhi yake 1992 basi baada ya hapo mila na desturi za kitanzania ndizo zimeachiwa kuongoza hatimaye bila kudhibitiwa hadi hizi changamoto zinazojitokeza kwenye jamii zinajionesha.