- Thread starter
- #21
Sahau, hadi tutengeneze uchumi ulio imara. Tunahitaji miaka 10 ijayo, ajenda ya kapeni za barabara, maji, dispensari, madarasa, maji n.k iwe ni historiaAgenda ya katiba mpya haepukiki, CCM mkiwa na busara ni kheri mkae na upinzani sasa hivi mkiwa bada na nguvu, mtapata nafasi ya kupanga terms and conditions. Pressure ni kubwa na ikizidi kupanda mtapoteza nguvu kabisa.